SHOGA WA KIKE anataka anizalie (Nimzalishe) mtoto!

Sasa wewe unataka nitukane. Mbona nimeandika wazi kabisa? Au hukusoma ujumbe wa mwanzo? Hebu usome tena ingawa ngoja nikuwekee kwa ufupi:

Kuna dada mmoja nje ya nchi ambaye anataka kuja hadi hapa Sikonge ili nimtungishe Mimba na hatimaye azae mtoto. Huyu mdada ni mtu ambaye ninafahamiana naye kwa miaka mingi kidogo tangu nikiishi nje ya nchi ambapo siku hizo, hakuwa au nilikuwa sijajua kama ni SHOGA.

Sasa Mdada anaweza tena vipi kuwa Mwanaume au Mkaka? Mie na Mkaka wapi na wapi?

Hebu fikiria Police huyu hapa awe SHOGA, unafikiri hata hawa wanaolaani hapa watamwacha? Wakipata nafasi tu, watamrukia Mdada huyu kama vile Teja limeona Unga wa nguvu kutoka Columbia....

namitha-as-police.jpg
namitha_cop-police_sexy_02.jpg

hkyamama mi sijaelewa kitu unless Kaunga uniambia kakako kaandika kinyamwezi!
hebu mtu anisaidie kwa lugha nyepesi! Sikonge unataka kuzaa na shoga ako??
kwani we ni mwanamke,sa mtazaaje?(iwapo we ni mwanamke) Sikonge unataka kuzaa na shoga,kwani wanaume wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja wanaweza kubeba mimba??
AH MI SIJAELEWA banaaaa!
 
Sasa wewe unataka nitukane. Mbona nimeandika wazi kabisa? Au hukusoma ujumbe wa mwanzo? Hebu usome tena ingawa ngoja nikuwekee kwa ufupi:

Sasa Mdada anaweza tena vipi kuwa Mwanaume au Mkaka? Mie na Mkaka wapi na wapi?

Hebu fikiria Police huyu hapa awe SHOGA, unafikiri hata hawa wanaolaani hapa watamwacha? Wakipata nafasi tu, watamrukia Mdada huyu kama vile Teja limeona Unga wa nguvu kutoka Columbia....

namitha-as-police.jpg
namitha_cop-police_sexy_02.jpg

sasa sijaelewa kwanini umemwita shoga wa kike!
kwani shoga katika maana halisi si ni wa kike!
la ukimwita shoga na akiwa wa kiume hakuna haja ya kuweka wa kike!
 
Wee Mtani Mkorofi kumbe, khaaaa!!!!!!

Umenikumbusha wakati wa vita ya Kagera, Mtangazaji kama sikosei Ben Kiko alimkomalia Baba mmoja aeleze ilivyokuwa. Yule baba wa watu akaanza "Askari wa Amini, waliwowa, na Mke wangu wakamuwowa, na binti yangu wakamuwowa sana". Mtangazaji akajifanya hajaelewa, akauliza "Sasa Mzee, maana ya kuwowa ni nini?"

Yule Baba akaja juu "Kwani huelewi nini ndugu Mtangazaji? Walinis**la" na hapo akawa ameweka na Kihaya juu yake. Ila cha ajabu ingawa Ben Kiko alikuwa Wa hapahapa kwetu Sikonge, alielewa haraka sana maana ya KUWOWA.

Mambo yenyewe haya hapa: Jerry Springer Show: Lesbian Love Fest! - YouTube

anhaaa!sasa si ungesema hivo toka mwanzo!
hapo nimeelewa!
ahsante!
 
Mdugu wane Sikonge na Ilumbuye Kaunga,mie natafuta mwanamke wa Kingoni,nasikia kwa yale mambo yetu ni balaa sasa ni hii mizigo yetu ya kule naniiiiiiiiii.............si nitamchanganya kweli..........mwalimu snowhite............upo kweli.......mie naona aibu kusema bwana dah .................................Hivi mtu wa mtani wake inawezekana kweli.........ha ha ha ha
 
ahahhahahhahhahah wanyamwezi bana!
hebu kaeni kama kamati na wanyamwezi wenzio wote wakufundishe(i meanmchangie maneno ya kusololea!)
cc The Boss (huyu naskia mkewe yani dadaenu mwingine ye alimtokea mwenywe), Sikonge(huyu nae ni boonge la nini sijui yani hata kusoma hajui mdada wa watu kamzimikia huko ye hata haelewi)mkishafanya saccos ya maneni ndo uje ,sawa?
bcc Kaunga
 
Last edited by a moderator:
Wee Mtani Mkorofi kumbe, khaaaa!!!!!!

Umenikumbusha wakati wa vita ya Kagera, Mtangazaji kama sikosei Ben Kiko alimkomalia Baba mmoja aeleze ilivyokuwa. Yule baba wa watu akaanza "Askari wa Amini, waliwowa, na Mke wangu wakamuwowa, na binti yangu wakamuwowa sana". Mtangazaji akajifanya hajaelewa, akauliza "Sasa Mzee, maana ya kuwowa ni nini?"

Yule Baba akaja juu "Kwani huelewi nini ndugu Mtangazaji? Walinis**la" na hapo akawa ameweka na Kihaya juu yake. Ila cha ajabu ingawa Ben Kiko alikuwa Wa hapahapa kwetu Sikonge, alielewa haraka sana maana ya KUWOWA.

Mambo yenyewe haya hapa: Jerry Springer Show: Lesbian Love Fest! - YouTube

ahahhahhhhaa sasa ulikuwa unajiuma uma nini toka mwanzo!
wanyamwezi mnanishangaza sana!sasa si ungesema tu toka mwanzo!
mwenzio Kingungu jasho linamtoka hapo anataka mzigo wa kingoni af hajui aseme nini!ehehehheh kazi mnayo!
 
Last edited by a moderator:
Wee Mtani Mkorofi kumbe, khaaaa!!!!!!

Umenikumbusha wakati wa vita ya Kagera, Mtangazaji kama sikosei Ben Kiko alimkomalia Baba mmoja aeleze ilivyokuwa. Yule baba wa watu akaanza "Askari wa Amini, waliwowa, na Mke wangu wakamuwowa, na binti yangu wakamuwowa sana". Mtangazaji akajifanya hajaelewa, akauliza "Sasa Mzee, maana ya kuwowa ni nini?"

Yule Baba akaja juu "Kwani huelewi nini ndugu Mtangazaji? Walinis**la" na hapo akawa ameweka na Kihaya juu yake. Ila cha ajabu ingawa Ben Kiko alikuwa Wa hapahapa kwetu Sikonge, alielewa haraka sana maana ya KUWOWA.

Mambo yenyewe haya hapa: Jerry Springer Show: Lesbian Love Fest! - YouTube

Ndugu yangu Sikonge upo mwe wa kukaya,mwenzio nilikuwa Ipole kule ndio maana nilipotea,si unajua kule mnara wa Zantel hakuna sasa haka ka-lap top kangu ka kutumia mwanga wa jua nilishindwa ku-access internet.Halafu hebu mwambia Nkumba (MB) aharakishe tupate mnara wa Zantel kule Ipole sio yeye amshupalie FILIKUNJOMBE kisa anasema ukweli,lol. Mwezi August tukutana Sikonge bwana tupange mikakati,katiba mpya inakuja,M4C wanyamwezi wameipokea kwa shangwe,nataka utangaze nia mapema,mie nitakuwa kampeni manager
.
 
Ntatangaza soon. Ngoja kwanza nijipange vizuri maana gharama zinakuwa kubwa sana. Pole na kukosa mtandao huko Ipole. Itabidi nikishinda basi tujenge Mnara mkubwa hadi Kikungu wapate mtandao wa simu.

Anyway, taratibu taratibu hali itatengamaa. Kuhusu M4C, naona hiyo ikishaingia kwa Wanyamwezi, CCM itabidi isubiri miaka mingine 50 ili kuwabadili Wanyamwezi. Kama Mama Sitta juzi juzi kasema kuwa Serikali ya CCM inajenga zaidi kwenye Upinzani mkubwa na sehemu ambako hakuna Wapinzani, kwa nini kuhangaika?

Back
Top Bottom