SHOGA WA KIKE anataka anizalie (Nimzalishe) mtoto!

Nafikiri Izz alikuwa na maana kuwa kama akishazaa, basi ataachana na Ushoga ili Mtoto asikuwe kwenye maisha ambayo Ushoga kwake ni kawaida na si jambo la ajabu ambalo na yeye pia anaweza kufanya.....
Yanaanza yale yale ya Mama anafaidi, ngoja na mie nifaidi kama yeye bila kujali yeye ni Mwanaume :(
Mkuu lengo la Sikonge si kumuoa bali ni kuangalia uwezekano wa kuzaa naye,kwa hiyo suala la usagaji wake halina mashiko!
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri Izz alikuwa na maana kuwa kama akishazaa, basi ataachana na Ushoga ili Mtoto asikuwe kwenye maisha ambayo Ushoga kwake ni kawaida na si jambo la ajabu ambalo na yeye pia anaweza kufanya.....
Yanaanza yale yale ya Mama anafaidi, ngoja na mie nifaidi kama yeye bila kujali yeye ni Mwanaume :(
Sawa mkuu,nimekuelewa vizuri sana!
 
Sasa Mkuu, siku moja Mtoto akaambiwa ukweli na anitafute na aje apewe habari kamili si itakuwa kasheshe?

Anyway, kinachoniambia nifanye ni kama ulivyoandika ila sintahitaji kuuza kwa sababu siyo kawaida yangu. Ila wasiwasi wangu ni MALEZI. Itakuwaje Mtoto akikuzwa kwenye nyumba za Mashoga? Huo ndiyo wasiwasi wangu pekee. Kuhusu mahitaji mengine wala haina shida kwa sababu Binti nyumbani kwao wapo fresh....
tafiti zimeonesha lesbians wanaweza ku-raise watoto as well as male+female parents. their orientation has little effect on the well being of the children
 
Wakali wa JF,

Kuna dada mmoja nje ya nchi ambaye anataka kuja hadi hapa Sikonge ili nimtungishe Mimba na hatimaye azae mtoto. Huyu mdada ni mtu ambaye ninafahamiana naye kwa miaka mingi kidogo tangu nikiishi nje ya nchi ambapo siku hizo, hakuwa au nilikuwa sijajua kama ni SHOGA.

Anasema yupo tayari kuwekeana kabisa mkataba na mie kwamba gharama zote za mimba na kulea mtoto hatanidai na mtoto ataandikishwa kwa jina lolote nitakalokubali mie na hata akitaka atanilipa. Sijui kaona kitu gani cha ajabu kwa Mnyamwezi mie ingawa kiukweli hadi leo hii sijawahi hata kumbusu, acha kutembea naye.
Kuhusu Mimba anasema inaweza kuwa kwa njia ya kawaida kwa kufanya mapenzi au kwenda hospital na huko wakafanya kupandikiza kama wanavyofanya kwa wale wanaotoa mbegu za Kiume na kuwapa akina mama ambao hata hawawajui.

Shida kubwa iliyopo ni kuona kuwa Mtoto wangu anaweza kukulia kwenye familia au nyumba ambayo Mama anaishi na GIRLFRIEND wake na kwa maana nyingine ni kwamba, hawa ni Wasagaji. Mbaya zaidi kakiwa ka kike, si ndiyo itakuwa shida kwa mtoto huyo? Itabidi ajifunze kuwa Mliberali mapema sana au aungane nao.

Hebu nyie wakali na wazoefu wa haya mambo mniambie, kwa hili NIKUBALI au NIKATAE?

ANGALIZO: Hii ni habari ya kweli, utani pembeni Bandugu.

hahahah, kaka yangu unatisha!!!!!!!!!
Shida ninayoiona hapo ni kwamba as a father hautakubali au kujisikia vizuri mtoto wako alelewe mbali na wewe, na haitakuwa fair kwa mtoto pia.
Ya pili, ni kama ulivyo na wasiwasi wewe; mtoto atalelewa katika mazingira ambayo yatainfluence maisha yake ya baadaye, so bila kujua hao wadada wanavyoishi, wanachoamini sikushauri kupeleka mbegu zetu adhimu za kinyamwezi bila kuhakikisha mtoto anakuwa 'myamwezi' wa ukweliii.

Kama huyo dada kweli ni rafiki, anapaswa kuheshimu mtazamo wako hata kama unapingana na wa kwake.
 
Binafsi naomba nipate maelezo yafuatayo toka kwako:1. Je kwa sasa una mke au mchumba?2. Unalichukuliaje suala la kuwa na mtoto na mtu ambaye sio mkeo na hawezi kuwa mkeo?
 
Wakali wa JF,

Kuna dada mmoja nje ya nchi ambaye anataka kuja hadi hapa Sikonge ili nimtungishe Mimba na hatimaye azae mtoto. Huyu mdada ni mtu ambaye ninafahamiana naye kwa miaka mingi kidogo tangu nikiishi nje ya nchi ambapo siku hizo, hakuwa au nilikuwa sijajua kama ni SHOGA.

Anasema yupo tayari kuwekeana kabisa mkataba na mie kwamba gharama zote za mimba na kulea mtoto hatanidai na mtoto ataandikishwa kwa jina lolote nitakalokubali mie na hata akitaka atanilipa. Sijui kaona kitu gani cha ajabu kwa Mnyamwezi mie ingawa kiukweli hadi leo hii sijawahi hata kumbusu, acha kutembea naye.
Kuhusu Mimba anasema inaweza kuwa kwa njia ya kawaida kwa kufanya mapenzi au kwenda hospital na huko wakafanya kupandikiza kama wanavyofanya kwa wale wanaotoa mbegu za Kiume na kuwapa akina mama ambao hata hawawajui.

Shida kubwa iliyopo ni kuona kuwa Mtoto wangu anaweza kukulia kwenye familia au nyumba ambayo Mama anaishi na GIRLFRIEND wake na kwa maana nyingine ni kwamba, hawa ni Wasagaji. Mbaya zaidi kakiwa ka kike, si ndiyo itakuwa shida kwa mtoto huyo? Itabidi ajifunze kuwa Mliberali mapema sana au aungane nao.

Hebu nyie wakali na wazoefu wa haya mambo mniambie, kwa hili NIKUBALI au NIKATAE?

ANGALIZO: Hii ni habari ya kweli, utani pembeni Bandugu.

Kwenu wewe umekuwa ng'ombe wa kuwatungisha mimba watu hovyo mpaka wa liberali? Kwa hiyo utu wako hauna thamani? Una mke/girlfriend? Hauoni utakuwa haujamtendea haki huyo mpenzi wako?
 
Nimekusoma vizuri tu dada yangu. Itabidi nimuweke kiti moto na nimpe za usoni bila kumuonea aibu kuwa sintapenda kabisa Mwanangu akulie katika mazingira hayo na kama atakuwa tayari na masharti, tutatengenezeza ka-Pundamilia.
hahahah, kaka yangu unatisha!!!!!!!!!
Shida ninayoiona hapo ni kwamba as a father hautakubali au kujisikia vizuri mtoto wako alelewe mbali na wewe, na haitakuwa fair kwa mtoto pia.
Ya pili, ni kama ulivyo na wasiwasi wewe; mtoto atalelewa katika mazingira ambayo yatainfluence maisha yake ya baadaye, so bila kujua hao wadada wanavyoishi, wanachoamini sikushauri kupeleka mbegu zetu adhimu za kinyamwezi bila kuhakikisha mtoto anakuwa 'myamwezi' wa ukweliii.

Kama huyo dada kweli ni rafiki, anapaswa kuheshimu mtazamo wako hata kama unapingana na wa kwake.
 
Mkuu,

Ndiyo maana nimesema kuwa huyu dada ni rafiki yangu wa muda mrefu na pia alivyosema atanipa PESA nikamgomea kabisa kuwa sintachukua hata senti tano kutoka kwake kwani mimi siyo kama ulivyosema hapa chini "ng'ombe wa mbegu."

Nina Mke na Girlfriend na wote wameridhia kwa sababu mimba itatungwa bila ya kuwa na Direct Contact kati yangu na yeye yaani kwa maana nyingine, Mimba itatungiwa Hospital na Madaktari. Sasa hapo Wivu wa nini tena? Mwisho kumbuka Wanyamwezi ni jadi kuwa na wake wengi, au siyo Kaunga? Wapi KIKUNGU na TUKUTUKU waje hapa wathibitishe...
Kwenu wewe umekuwa ng'ombe wa kuwatungisha mimba watu hovyo mpaka wa liberali? Kwa hiyo utu wako hauna thamani? Una mke/girlfriend? Hauoni utakuwa haujamtendea haki huyo mpenzi wako?
 
Last edited by a moderator:
Swali lako nimelijbu kwa ujumbe wa juu. Hilo halina shida kabisa kwa Mila za Kinyamwezi.
Binafsi naomba nipate maelezo yafuatayo toka kwako:

1. Je kwa sasa una mke au mchumba?

2. Unalichukuliaje suala la kuwa na mtoto na mtu ambaye sio mkeo na hawezi kuwa mkeo?
 
kwanza mpe ushauri aachane na hiyo tabia ikibidi umwoe kabisa maana inawezekana hajawahi kupata mwanaume aliyemfikisha mahali pake...
 
Mkuu,

Ndiyo maana nimesema kuwa huyu dada ni rafiki yangu wa muda mrefu na pia alivyosema atanipa PESA nikamgomea kabisa kuwa sintachukua hata senti tano kutoka kwake kwani mimi siyo kama ulivyosema hapa chini "ng'ombe wa mbegu."

Nina Mke na Girlfriend na wote wameridhia kwa sababu mimba itatungwa bila ya kuwa na Direct Contact kati yangu na yeye yaani kwa maana nyingine, Mimba itatungiwa Hospital na Madaktari. Sasa hapo Wivu wa nini tena? Mwisho kumbuka Wanyamwezi ni jadi kuwa na wake wengi, au siyo Kaunga? Wapi KIKUNGU na TUKUTUKU waje hapa wathibitishe...

Hapo nilipounderline, kama mke na girl friend wako wote wamekubali, mkuu mi sina tena comments. Acha niwasubiri hao wanyamwezi akina Kaunga, KIKUNGU na TUKUTUKU waje watuelezee zaidi tamaduni zenu zilivyo.

Nivea, Mr Rocky, snowhite na SnowBall njooni msikie habari za wanyamwezi!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, hiyo ni TABIA ambayo unaweza kusema matatizo yalitokea kwenye uumbwaji wake. Ni kama yule dada Semenya wa South Africa ambaye ni nusu Mwanaume. Kama Mabwana, alishakuwa nao sana tu ila ndiyo hivyo tena.
kwanza mpe ushauri aachane na hiyo tabia ikibidi umwoe kabisa maana inawezekana hajawahi kupata mwanaume aliyemfikisha mahali pake...
 
Mbona KOMBA wa CCM ana Ki-LULU? Tena Masikini hata miaka 18 kilikuwa hakijafikisha....

images
images

Hapo nilipounderline, kama mke na girl friend wako wote wamekubali, mkuu mi sina tena comments. Acha niwasubiri hao wanyamwezi akina Kaunga, KIKUNGU na TUKUTUKU waje watuelezee zaidi tamaduni zenu zilivyo.

Nivea, Mr Rocky, snowhite na SnowBall njooni msikie habari za wanyamwezi!
 
Mkuu, hiyo ni TABIA ambayo unaweza kusema matatizo yalitokea kwenye uumbwaji wake. Ni kama yule dada Semenya wa South Africa ambaye ni nusu Mwanaume. Kama Mabwana, alishakuwa nao sana tu ila ndiyo hivyo tena.

hivi hamna dawa? lazima yatakuwa yana tiba yake.... pamoja na hayo nakushauri usifanye hicho kitu kabisa
 
Ngoja niulizie huko kwa Wafipa labda watakuwa na dawa ya kumfanya mtu aache Ushoga...... Ikiwa vipi, nikuunganishe wewe kwa rafiki yake? Yaani kama dawa itapatikana na akatakiwa mtu wa kumpatia :)
hivi hamna dawa? lazima yatakuwa yana tiba yake.... pamoja na hayo nakushauri usifanye hicho kitu kabisa
 
Nilivyokusoma naona wewe hujui utakalo na wengi itakuwa shida kukushauri, unauzi kiaina fulani.

Umeleta hoja unajibiwa, unakuwa tena haujaridhika unataka mtu aendelee kuongea. Mada yako, kichwa chako, uamuzi wako sasa kutaka kujibishana zaidi na hata huwaulizi y wamesema hayo upate mawaiza zaidi unakuwa kama unawakata paaaa.

Unaleta story nyingine ndefuuuuuuu, hata baada ya kuomba eti sio mautani. Mmmmm!!!!!

Huyu anafanya research, haujamstukia?
 
mmh! naomba mwngozo hapa hasa toka kwa Kongosho, King'asti na Kaunga hivi shoga si mdada??
ama mie kusema snowhite shoga yangu ni nakosea??

sijaelewa kabisa shoga wa kike alitaka awe nani.

Mwanzo nami nilipata tabu kumuelewa kaka yangu; lkn baadaye ndipo nilikuwa kugundua alimaanisha nini. Hillo jina tushanyang'anywa ujue, bora tuitane shostis to maana siunajua mfumo dume huu, wameona watudhulumu hata 'USHOGA'.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom