'shocking'! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

'shocking'!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mbu, Oct 29, 2007.

 1. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2007
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Hii kama ni kweli basi ni mbaya sana, kusudio lao lilikuwa nini 'kuwatorosha' watoto hawa?...


  ...uchunguzi bado unaendelea....!
   
 2. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2007
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...mnh, 'ukiona wenzio wananyolewa, nawe tia maji', ...wajameni, hayapo haya Tz? 'madege' hayatui JKIA na KIA pekee, kuna viwanja vingi tu huko mikoani, wasije wakawa wanaiba 'vitoto vya kitanzania huko vijijini', ohooo..!
   
 3. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2007
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  ...and it's really 'shocking!' bearing in mind yanatokea chini ya kivuli cha 'humanitarian grounds'!
   
 4. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2007
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,223
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Haya mambo yapo sana tu, hasa kambi za wakimbizi, sema yanafanyika katika usiri mkubwa sana.
   
Loading...