Shocking!!!!!:waafrica aliyeturoga bila shaka atakuwa alishakufa

mbwewe

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
3,262
3,392
Hili bango limewekwa maalum kwa ajili ya kumkaribisha mwanafalme kutoka scotland
FB_IMG_1541355077955.jpg

Hii imetokea nchini ghana.
 
Km hujui nenda kasome slave trade na colonialism in africa
Kwani slave trade hausomi kwenye history? kuna utata kwani kati ya afrika na ulaya tuna share history hiyo bila kujali nani alikuwa katika nafasi gani gatika hiyo biashara haramu? kuna utata baada ya biashara na utawala dhalimu kuisha tumeungana na kushare future pamoja mfano tumeunda jumuia ya madola?
 
Kwa mujibu wa hilo bango it seems ghana wanajivunia kuwa waathirika wa slave trade na kuwa colonise na wazungu.....Na hyo future unayoizungumzia ni future ya aina gani!? Au ndyo ile ile ya kuendelea kutunyonya!? ....huwa napatwa na huzuni nikiona comment km yako, yaan mpaka leo unaamini mzungu yupo kwa ajili ya kukusaidia wewe mwafrica!?

Waafrica tumepitia mambo mengi sana ya kutisha lakini mpaka leo hatujifunzi,tunarudia makosa yale yale waliofanya mababu zetu ya kuwaamini wazungu
 
Lingekuwa bango linamhusu mwarabu matusi yengemwagika sana humu, ila kwakuwa ni mzungu hamna shida. Dah Waafrika bwana,aliyeturoga alikuwa shujaa sana. Mungu ibariki tanzania
Mzungu ni mungu kwa waafrica walio wengi
 
Back
Top Bottom