Shocking Video and Images of Mass Burial in Tripoli, Libya FEB 22 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shocking Video and Images of Mass Burial in Tripoli, Libya FEB 22

Discussion in 'International Forum' started by EMT, Feb 23, 2011.

 1. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
 2. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
 3. Macos

  Macos JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 1,831
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  wacha kuweka vedio za oungo..kwanza hapo sio libya...pili hizo maiti zipo wapi? Na hao jamaa mavazi yao ni ya iran...ni vedio ya kuwazika watu walokufa kwa kipindu pindu...au wanajenga vyoo.....hawaoneshi huzuni.
  Musilete propaganda za west....hakuna alieweza kuonesha ukweli ndani ya libya ..tusubiri.....king of king atapoibuka mshindi dhadi ya mbinu za amerika...jamaa ni msema ovyo basi wote wanamchukia hata wafrika warabu wenzake...kwani aliwapakia alipokua amewekewa vikwazo
   
 4. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Hata kiswahili cha Kenya ni kizuri.
   
 5. FarLeftist

  FarLeftist JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  red - si kiswahili fasaha
   
 6. bona

  bona JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  human being inevitably die!
   
 7. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Tatizo liko wapi mjukuu wangu?
  wanaokufa na kuteseka ni walibya, wanaoandamana ni wa libya, J e USA inaingizwa vipi?
  mbona kila kitu ninyi ni USA tu? USA aliwachukulia nini ninyi?
  nchi haina hata access ya mtu yeyote ,hakuna mawasiliano,hakuna net n.k je USA inahusika vipi?
  Tunisia, USA,Egypt USA,Bahrain USA pia..lol mda mwingine mnamsingizia USA wa bure tu.
  Elewa kuwa wananchi wanahitaji haki wala hawahitaji zawadi ambazo ni haki yao kutoka kwenye oil.
  Unaposema kuwa amewasaidia unamaanisha nini?
  Hayo mafuta ni ya Ghadafi au ni ya walibya?
   
Loading...