Shocking revelation: wateja wakubwa wa sex toys ni wababa

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,782
Imebidi nibishane mno na huyu mama wa makamo anayefanya hii biashara kwenye saluni za kike zenye hadhi ya juu mikocheni masaki na oysterbay... Pia na maeneo ya kinondoni
Sex toys /sex dolls ni biashara iliyoharamishwa hapa kwetu na inafanyika kwa siri kubwa kuliko hata madawa ya kulevya. Ni biashara ya magendo yenye faida nzuri na wateja wa uhakika
Kwa sehemu sio vibaya kutumia mara moja moja hayo madude... Kuna sababu anuwai, kinachostua ni kwamba ni aina ya wateja... Kwamba zipo za kike na zipo za kiume... Zinazouza sana ni za kiume na ilitarajiwa kuwa wateja wakubwa wawe kina mama kutokana na malalamiko mengi ya kutotoshelezwa kitandani na wenza wao kwenye swala zima la ngono
Kinyume na matarajio hayo wateja ni wanaume tena wengi ni wa kwenye mahusiano na ndoa
Unaweza kusema inawezekana kabisa wanawapelekea wake zao! Lakini hili ni jambo lisilowezekana abadani.. Wanatumia wenyewe...
Mwanamama huyu anakiri kuwa kuna ongezeko kubwa la ushoga kwenye ndoa na kwa kuogopa aibu wengi huamua kutumia sec toys kujiridhisha... Mbaya zaidi hali hiyo imewakumba vijana wengi watanashati sana wenye elimu vyeo na pesa... Utanashati ukizidi kwa mtoto wa kiume jua kuna walakini
Sec toys ambazo hazina bei kabisa ni zile za kike.. Maana yake ni kwamba kizazi kilichopo kinaangamiza kijacho taratibu..... Kwamba hakutakuwa na waoaji tena kama mambo yenyewe ndio haya... Na ndoa za jinsia moja zitakuwa kitu cha kawaida kabisa

Mungu atunusuru tuuu.....
 
mshana jr sio kila mtu mwenye maumbile ya kiume ni mwanaume.
Kwenye wanaume 100 kuna wanaume walio kamilika 16 tu.
54 wana low sperm count
7 mashoga
33 hawana nguvu za kiume kutokana na punyeto, magonjwa ya zinaa, ulevi ulio kithiri wa pombe, madawa ya kulevya etc, kisukari na magonjwa mengine ya muda mrefu
shocking........
 
Acha wafu wazikane..... Ila hadi ww umejua unafikiri hii imesha shamiri kiasi gani kwenye jamii..
 
Ni dar si umesikia ni mikocheni,masaki na oysterbay
Kabla ya Dar walikuwa hukohuko mikoani, wakaja kumuangalia askari shupvu ambaye hatingishiki wala hayumbi, yuko vilevile na bunduki yake. Kisha wakamwamkia shikamoo baba kamanda.

askarimonument1.jpg
 
mshana jr sio kila mtu mwenye maumbile ya kiume ni mwanaume.
Kwenye wanaume 100 kuna wanaume walio kamilika 16 tu.
54 wana low sperm count
7 mashoga
33 hawana nguvu za kiume kutokana na punyeto, magonjwa ya zinaa, ulevi ulio kithiri wa pombe, madawa ya kulevya etc, kisukari na magonjwa mengine ya muda mrefu
Kama kweli hivi umeshafanya uchunguzi itakuwa wewe
 
Back
Top Bottom