Shocking revelation: wateja wakubwa wa sex toys ni wababa

Kabla ya Dar walikuwa hukohuko mikoani, wakaja kumuangalia askari shupvu ambaye hatingishiki wala hayumbi, yuko vilevile na bunduki yake. Kisha wakamwamkia shikamoo baba kamanda.

askarimonument1.jpg
Mikoani hamna hayo mambo kwanza hata dildo hawajui ni nn... wanaume wa DAR wanaangamia
 
Hii mambo ya utandawazi zaman apakuwa na vitu kama hiv, iaonekana vijana awakulelewa kwenye maadili mazuri wameingia kwenye ndoa wakiwa awajui chochote mungu atunusuru tu
 
mshana jr sio kila mtu mwenye maumbile ya kiume ni mwanaume.
Kwenye wanaume 100 kuna wanaume walio kamilika 16 tu.
54 wana low sperm count
7 mashoga
33 hawana nguvu za kiume kutokana na punyeto, magonjwa ya zinaa, ulevi ulio kithiri wa pombe, madawa ya kulevya etc, kisukari na magonjwa mengine ya muda mrefu
Labda kama wanawapelekea wake zao hapo sawa lakini sioni logic ya mwanamme kununua sex toys za kiume na kupungukiwa na nguvu, hoja ya kuongezeka kwa ushoga hii sawa.
 
Also thrilling. Time will come ambapo wanaume marijali tutahitaji ulinzi mkali sana, maana tutakuwa tukiwindwa na mashoga, wanawake na pia wale wanaume wasioweza kubebesha mimba watakuwa wakituwinda ili tukawape wake zao watoto
Mkuu kumbe nifungue account sperm bank nianze kuwauzia
 
Back
Top Bottom