Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 845
Sina link yoyote at the moment lakini najua hii itakuwa na implication kubwa sana kwenye siasa Tanzania
Rais wetu mheshimiwa JK sijui amejiandaa vipi na bei za vyakula na services kuongengezeka na political fall out sijui itakuwa vipi (assuming wapinzani kama tunao) wata milk vipi hii situation