Shocking! Kupunguza foleni, Amina Amour (mbunge) ashauri serikali iongeze ushuru!

Wanawaza kuongeza ushuru wakati miundo mbinu haijaboreshwa sijui watu wengine huwa ni wavivu kufikiri au ndio ukomo wa kufikiri ulipoishia, foleni inasababishwa na poor infrastructure tulizonazo na wala sio wingi wa magari
 
hesabu kweli ni homa ya taifa, loh! unashindwa hata kujumlisha? kazi kwelikweli alafu mkiongea mnaongea kwa jazba vitu vyenyewe hamvijui... pole sana

Alivyosema cumulative manake mahesabu yake ni compounded i.e assume A ndo CIF value then unafanya hivi
(A+A*.25)=1.25A (Import Duty calc.)
(1.25A*0.1)+1.25A=1.375A (Excise Duty calc.)
(1.375A*0.18)+1.375A=1.6225A (VAT calc.)

hivyo utaona hapo ongezeko kwenya CIF value ni 0.6225 ambayo ni approx. 62%
kwahiyo yuko sawa, kwa kodi hizo utalipa asilimia 62 ya CIF value.
 
acha ubwege wewe, najua nachofanya, soma uelewe kwanza CUMMULATIVE NI 63% ya CIF hii ni sahihi, sio hesabu za kujumlisha hizo

Iko hivi dogo, Unapigwa Import Duty, ile figure inajumlishwa kwenye CIF afu inapigwa Excise duty ile figure inajumlishwa tena kwenye ilipatikana hapo juu afu ndio inatandikwa VAT kwa hiyo unapoona 25% na 10% na hiyo 18 sio zote zinakuwa calculated katika CIF which is like a base price kwa scenario yetu

Kama bado tu hujaelewa tafuta mwalimu wa tuition mi niko busy kidogo
 
Alikuwa anajaribu kama mic yake inafanya kazi, another time atakuja kapipanga. Bravo Amina Amour kwa ku-test mic yako hadi kuingia JF.
 
Alivyosema cumulative manake mahesabu yake ni compounded i.e assume A ndo CIF value then unafanya hivi
(A+A*.25)=1.25A (Import Duty calc.)
(1.25A*0.1)+1.25A=1.375A (Excise Duty calc.)
(1.375A*0.18)+1.375A=1.6225A (VAT calc.)

hivyo utaona hapo ongezeko kwenya CIF value ni 0.6225 ambayo ni approx. 62%
kwahiyo yuko sawa, kwa kodi hizo utalipa asilimia 62 ya CIF value.

mi nimetumia gwini kuelezea lakini sbilingi katoka kapa sasa wewe unamuwekea hisabati, unataka akimbie kabisa JF?
 
Nachosema wabe, si kweli kwamba magari ni mengi dar es salaam na hakuna sababu ya kuongeza kodi eti kupunguza uingizaji.

Tunaposema magari ni mengi (kama alivyodai Amina Mbunge) kipimo ni nini? mi nilifikiri kuna ratio flani, kwamba tunalinganisha idadi ya watu na idadi ya magari, kama mji una wakati milioni nne mari yaliyosajiliwa yako laki mbili na kitu hatuwezi kusema magari ni mengi.

wabe unachotaka wewe ni kipi, kwamba tutumie tu kiswahili, wingi unaanzia mbili na kuendelea kwa hiyo tukiwa na magari mawili au matatu au manne barabarani basi tuna magari mengi au?

Mkuu umeanzisha thread ukiwa na nia ya kujifunza? au nia ni kulaumu tu na kutopata mawazo mengine?

Nimeuliza kuwa tatizo ni nini hapa, huyu mbunge anazungumzia foleni, wewe unazungumzia idadi ya watu na magari! vitu viwili tofauti na ndio maana mfano wako wa Nairobi hausaidiii lolote lile hapa.

Tatizo la foleni linasababishwa na infrastructure na sio kwa sababu magari ni machache nchini kulinganisha na idadi ya watu.

Hizi chini ni njia za kupunguza foleni, zipo kwenye literature ukimchukua injia yeyote wa ujenzi wa degree ya kwanza atakujibu hivyo, ukimchukua mwanafunzi wa NIT atakujibu hivyo

Hizi ni njia za kupunguza foleni

1. Kuongeza means tofauti za usafirishaji, kama anga, reli, maji , subways n.k
2. Kuboresha kilichopo kwa kuweka feeders zenye uhakika

3. Kudiscourage private users.....kupromote public users

Wenye magari binafsi wanapandishiwa kodi, lakini magari ya public wanapunguziwa kodi. Hii inaendana na kuboresha public transport

4. Kupiga marufuku magari binafsi kuingia city centers

Hii inaendana na kuweka parking kubwa let say ubungo, tazara, mwenge na gari zitakazoruhusiwa mjini ni ya serikali na public

5. Kuweka kodi kubwa ya parking mijini na baadhi ya barabara

6. Kuongeza gharama ya mafuta kwa private owners

n.k

Ziko nyingi nimejaribu kuziorodhesha kwa haraka haraka

Ndio maana nikasema ALICHOSEMA HUYO MAMA HAKINA TATIZO NI MOJA YA PROFESSIONAL WAYS YA KUPUNGUZA FOLENI ( KU-DISCOURAGE PRIVATE VEHICLES), ALICHOKOSEA NI KUWA , UNAPOTOA HIYO SOLUTION HAO WATU LAZIMA UWE UMEWATAYARISHIA NJIA NYINGINE MBADALA YA KUTUMIA..AMBAYO NI PUBLIC TRANSPORT. PUBLIC TRANSPORT ZETU NI POOR NA KAMWE HAZIWEZI KU-REPLACE PRIVATE VEHICLES. Hivyo ushauri wake ni irrelevant kwa Tanzania ya leo na ya sasa. Ulaya kwa wenzetu unaona ni bora uchukue magari ya public kuliko gari lako , kwani kwenye daladala is just another attractive place!!

Tatizo ni kuwa hata kama tungekuwa na magari 100, watu 100,000,000 kama kuna tatizo la foleni linatakiwa kutatuliwa na siyo kusema wengi hawana magari. Hayo magari mengi yaingizwe yapite barabara ipi kama kuna foleni?? Foleni kwa ujumla wake ni hasara kubwa sana kwa taifa,

Ulichokosea ni kuwa umeishajivika vazi la kumkosoa na unapoona kuwa alichosema ni SAHIHI BUT AT A WRONG TIME , unagundua na wewe kumbe umekosea.

Nchi ingekuwa na mwenyewe ingewezekana kabisa kuondoa foleni within one night! tatizo ni ubinafsi, kila mmoja anataka ajionyeshe ana gari, executives na directors hawatakubali kupanda gari moja na ngumbaro.....hii ndiyo inafanya SOLUTION YA 3-6 kuwa ngumu sana in Africa!

Should I say it more?

What is your solution kuhusu foleni Uswege?
 
mi nimetumia gwini kuelezea lakini sbilingi katoka kapa sasa wewe unamuwekea hisabati, unataka akimbie kabisa JF?

Teh teh... Mkuu umenichekesha kidogo....asikimbie ila siku nyingine awe mwangalifu kabla ya kuandika kitu asichojua.......
 
Wabunge kama hawa ni mzigo na aibu bila shaka Membe hatawabeba 2015 ili tuwe na serikali inayowajali wananchi
 
Ndugu Uswe alichosema huyo mama hajakosea kabisa , ni moja tu ya namna ya kupunguza foleni. Alichokosea ni kuwa bado public transport ni mbaya hivyo hata ukipandisha kodi huyu mtu anakuwa hana alternative zaidi ua kuendelea kuumia kutumia gari lake. Nchi zingine kwa mfano Brazil walifanya sana hiyo style lakini wakijua RBT zinasaidia na kuwa substitute. Tanzania huwezi ukaingia kwenye daladala na laptop yako ukajiona salama!

alichosema huyo mama hajakosea kabisa

Alichokosea ni kuwa

Wabe, vipi? hajakosea amekosea ndiyo staili gani hii umekuja nayo Mkuu? Hebu nieleweshe ndugu yako. tumepotezana kiongozi
 
Amini Usiamini, Leo bungeni katika kipindi cha maswali na majibu mbunge wa kuteuliwa nafikiri wa mji mkongwe bi AMINA AMOUR ameuliza swali bungeni kwamba Dar Es Salaam imekua na magari mengi na kwa hiyo msongamano umekua mkubwa, kwa nini serikali haioni ni busara na wakati muafaka sasa kuongeza ushuru ili kupunguza idadi ya mgari yanayoingia nchini.

Kwa taarifa,
For all vehicles with that are not more than 10 yrs old
Import duty 25%
Excise duty 10%
VAT 18%
Cumulatively this is 63% of CIF value! (Amina anataka zaidi ya hapa!)

Kama imezidi miaka kumi unapiga nafikiri 20 au 25% uchakavu yaani inakua kama 87% ya CIF

Jamani hii ndo aina ya wawakilishi tulionao mjengoni, solution ya foleni barabarani ni kuzuia watu kununua magari kwa kuongeza ushuru. Kwa hali ilivo sasa ushuru wa magari ni mkubwa sana lakini Amina anaona hautoshi.

Nimeshangaa sana! Sikutegemea kama mbunge anaweza kuwa na mawazo hovyo kiasi hiki, hawazi kabisa kuhusu kuboresha miundo mbinu...AJABU AND SHOKING!

source: TBC1
inaonyesha yeye ni mtu wa dezo ------NDILO OMBWE HILO

BADALA YA KUPANUA MIUNDOMBINU, YEYE ANAONA TUPUNGUZE MAGARI... SIJAWAHI ONA HII TAKATA
 
alichosema huyo mama hajakosea kabisa

Alichokosea ni kuwa

Wabe, vipi? hajakosea amekosea ndiyo staili gani hii umekuja nayo Mkuu? Hebu nieleweshe ndugu yako. tumepotezana kiongozi

Kuwa Idea yake ya kuongeza kodi ni sahihi kabisa, ILA that idea is not applicable with our current situation.

she is right, other countries employ that idea to discourage private vehicle owners, however while you are discouraging private owners you MUST have alternatives ..the best alternative is to improve public transport which I believe is not in that standard that can attract CEO, MDs, and other executives and medium class people.

So amezungumza kama kasuku bila kujua idea hiyo au solution hiyo ina LIMITATIONS ZAKE! Kwa sababu ukipandisha kodi ya magari wakati watu hawana alternatives ni uuaji.Lengo ni kupunguza foleni...
 
Mkuu umeanzisha thread ukiwa na nia ya kujifunza? au nia ni kulaumu tu na kutopata mawazo mengine?

Nimeuliza kuwa tatizo ni nini hapa, huyu mbunge anazungumzia foleni, wewe unazungumzia idadi ya watu na magari! vitu viwili tofauti na ndio maana mfano wako wa Nairobi hausaidiii lolote lile hapa.

Tatizo la foleni linasababishwa na infrastructure na sio kwa sababu magari ni machache nchini kulinganisha na idadi ya watu.

Hizi chini ni njia za kupunguza foleni, zipo kwenye literature ukimchukua injia yeyote wa ujenzi wa degree ya kwanza atakujibu hivyo, ukimchukua mwanafunzi wa NIT atakujibu hivyo

Hizi ni njia za kupunguza foleni

1. Kuongeza means tofauti za usafirishaji, kama anga, reli, maji , subways n.k
2. Kuboresha kilichopo kwa kuweka feeders zenye uhakika

3. Kudiscourage private users.....kupromote public users

Wenye magari binafsi wanapandishiwa kodi, lakini magari ya public wanapunguziwa kodi. Hii inaendana na kuboresha public transport

4. Kupiga marufuku magari binafsi kuingia city centers

Hii inaendana na kuweka parking kubwa let say ubungo, tazara, mwenge na gari zitakazoruhusiwa mjini ni ya serikali na public

5. Kuweka kodi kubwa ya parking mijini na baadhi ya barabara

6. Kuongeza gharama ya mafuta kwa private owners

n.k

Ziko nyingi nimejaribu kuziorodhesha kwa haraka haraka

Ndio maana nikasema ALICHOSEMA HUYO MAMA HAKINA TATIZO NI MOJA YA PROFESSIONAL WAYS YA KUPUNGUZA FOLENI ( KU-DISCOURAGE PRIVATE VEHICLES), ALICHOKOSEA NI KUWA , UNAPOTOA HIYO SOLUTION HAO WATU LAZIMA UWE UMEWATAYARISHIA NJIA NYINGINE MBADALA YA KUTUMIA..AMBAYO NI PUBLIC TRANSPORT. PUBLIC TRANSPORT ZETU NI POOR NA KAMWE HAZIWEZI KU-REPLACE PRIVATE VEHICLES. Hivyo ushauri wake ni irrelevant kwa Tanzania ya leo na ya sasa. Ulaya kwa wenzetu unaona ni bora uchukue magari ya public kuliko gari lako , kwani kwenye daladala is just another attractive place!!

Tatizo ni kuwa hata kama tungekuwa na magari 100, watu 100,000,000 kama kuna tatizo la foleni linatakiwa kutatuliwa na siyo kusema wengi hawana magari. Hayo magari mengi yaingizwe yapite barabara ipi kama kuna foleni?? Foleni kwa ujumla wake ni hasara kubwa sana kwa taifa,

Ulichokosea ni kuwa umeishajivika vazi la kumkosoa na unapoona kuwa alichosema ni SAHIHI BUT AT A WRONG TIME , unagundua na wewe kumbe umekosea.

Nchi ingekuwa na mwenyewe ingewezekana kabisa kuondoa foleni within one night! tatizo ni ubinafsi, kila mmoja anataka ajionyeshe ana gari, executives na directors hawatakubali kupanda gari moja na ngumbaro.....hii ndiyo inafanya SOLUTION YA 3-6 kuwa ngumu sana in Africa!

Should I say it more?

What is your solution kuhusu foleni Uswege?

Wabe nakubaliana na wewe kwa baadhi ya vitu pia si kweli kwamba lengo langu ni kulaumu tu, ila mgonjwa wa mafua dokta anampa dawa ya tumbo utaacha kulaumu, tatizo letu miundo mbinu mtu anakuja na solution ya kuongeza ushuru, si kichekesho hiki?

Kuboresha Public Transport ni sahihi.
Kuboresha infrastructure...this should be priority number one if we are to curb foleni

Tuachane na mifano ya nairobi na brazil b'se might be not relevant to our situation.
1.Wakati nakubaliana kwamba kudiscourage watu kutumia private transport ni moja kati ya njia za kupunguza foleni si sahihi kupeleka nguvu katika kuwaondolea watu uwezo wa kumiliki magari.

2.Ushuru kwa mtu anaenunua gari leo tayari ni mkubwa sana, haingii akilini mtu anaweza kuwaza kuongeza ushuru, theoretically ni moja ya kuzuia magari mengi and therefore kupunguza foleni lakini nji hii ingekuwa sahihi kama ushuru uko chini kidogo na idadi ya magari ni kubwa.

Tatizo letu ni INFRASTRUCTURE mbovu, kwa hili tumekubaliana b'se hata wewe unasema hivo, sasa kwa mazingira yetu hoja ya kuongeza kodi ni ya KIZEMBE na inapaswa KULAANIWA,!
 
Amini Usiamini, Leo bungeni katika kipindi cha maswali na majibu mbunge wa kuteuliwa nafikiri wa mji mkongwe bi AMINA AMOUR ameuliza swali bungeni kwamba Dar Es Salaam imekua na magari mengi na kwa hiyo msongamano umekua mkubwa, kwa nini serikali haioni ni busara na wakati muafaka sasa kuongeza ushuru ili kupunguza idadi ya mgari yanayoingia nchini.

Kwa taarifa,
For all vehicles with that are not more than 10 yrs old
Import duty 25%
Excise duty 10%
VAT 18%
Cumulatively this is 63% of CIF value! (Amina anataka zaidi ya hapa!)

Kama imezidi miaka kumi unapiga nafikiri 20 au 25% uchakavu yaani inakua kama 87% ya CIF

Jamani hii ndo aina ya wawakilishi tulionao mjengoni, solution ya foleni barabarani ni kuzuia watu kununua magari kwa kuongeza ushuru. Kwa hali ilivo sasa ushuru wa magari ni mkubwa sana lakini Amina anaona hautoshi.

Nimeshangaa sana! Sikutegemea kama mbunge anaweza kuwa na mawazo hovyo kiasi hiki, hawazi kabisa kuhusu kuboresha miundo mbinu...AJABU AND SHOKING!

source: TBC1

Si shangai kwani huyo bibi kwakweli kwanza hamwakilishi mtu yeyote (tatizo la viti vya kupendelewa) na pili Dae es Salaam mambo yake yanamuhusu nini yeye? Hili ni tatizo la kulazimisha kuleta bungeni watu wasiostahiki (Wazanzinari) huku bunge ni la Tanganyika.
 
Kuwa Idea yake ya kuongeza kodi ni sahihi kabisa, ILA that idea is not applicable with our current situation.

she is right, other countries employ that idea to discourage private vehicle owners....

Anza tena wabe, huyu ni mbunge wa Tanzania na alikuwa anatoa ushauri wa kutatua matatizo ya Tanzania
 
Amini Usiamini, Leo bungeni katika kipindi cha maswali na majibu mbunge wa kuteuliwa nafikiri wa mji mkongwe bi AMINA AMOUR ameuliza swali bungeni kwamba Dar Es Salaam imekua na magari mengi na kwa hiyo msongamano umekua mkubwa, kwa nini serikali haioni ni busara na wakati muafaka sasa kuongeza ushuru ili kupunguza idadi ya mgari yanayoingia nchini.

Kwa taarifa,
For all vehicles with that are not more than 10 yrs old
Import duty 25%
Excise duty 10%
VAT 18%
Cumulatively this is 63% of CIF value! (Amina anataka zaidi ya hapa!)

Kama imezidi miaka kumi unapiga nafikiri 20 au 25% uchakavu yaani inakua kama 87% ya CIF

Jamani hii ndo aina ya wawakilishi tulionao mjengoni, solution ya foleni barabarani ni kuzuia watu kununua magari kwa kuongeza ushuru. Kwa hali ilivo sasa ushuru wa magari ni mkubwa sana lakini Amina anaona hautoshi.

Nimeshangaa sana! Sikutegemea kama mbunge anaweza kuwa na mawazo hovyo kiasi hiki, hawazi kabisa kuhusu kuboresha miundo mbinu...AJABU AND SHOKING!

source: TBC1
Anashindwa kuelewa kwamba ushuru ni kwa nchi nzima na foleni ipo Dar sasa kwanini sehemu kubwa ya wanchi waathirike kwa sababu ya watu wa Dar badala ya kuangalia namna ya kumaliza tatizo katika eneo husika.
 
Back
Top Bottom