Shock: Hospitali ya Kairuki yakataa wagonjwa wa ugonjwa wa mifumo ya hewa kijanja, yaweka bei isiyowezekanika kwa Watanzania wengi

Hindumandal na Aghakan ndiyo kiboko yake. Hiyo pesa deposit au kianzio tu utakaa chini. Kuna jamaa aliacha hapo 42 milioni🤤🤤🤤🤤🤤 Aghakan. Sasa usiombr mgonjwa afariki ni mpaka ulipe hayo mamilioni ndiyo upewe mwili.

Milele Itapendeza.
 
Apo Aghakan ipo injection ya 5m alipiga 3 na bado akasepa 🙆
 
😂😂😂 kakutibua...
Hii tabia ya wavulana kutukana viungo pamoja na mifumo ya mwili Mungu alivyowapa mama zao sijui wanaipata wapi!?
Unakuta mtu anatukana pale alipopitia kupatikana au anaitukana process ya yeye kupatikana kama huyu mvulana🙄🙄🙄
 
Pengine Tatizo la hormone
 
Adolescence 😂😂😂😂😂😂
Hawa vijana wa siku hizi bwana walaini laini Sana sisi enzi zetu tuna chomwa sindano ya kuchemsha ina choma kijiji kizima una ambiwa usikaze tako itakatika ipo moja tu!
kweli tulikuwa tuna kaza tako linakuwa kama jiwe ! Hawa wa sasa walaini hawana maadili
 
Serikali iwatafutie kisa tu....halafu pwaaa wanamwaga mboga za wahaya hao... watanyooka tu
 
Niko kwenye hilo hiti na mamyako.... na sijui mlikua mnaongea nini hadi akakuhadithia mambo ya wanawake? Mfyuuu

Kuna tofauti kati ya biashara ya kuuza beer na kutoa huduma ya afya. Kama hujui sheria na miongozo ya watoa huduma za afya usikurupuke, tulia weweeee

Wacha regulators waongee
Pole sana mama D,jamaa sio mstaarabu,all in all tuvumiliane tu.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Hawa vijana wa siku hizi bwana walaini laini Sana sisi enzi zetu tuna chomwa sindano ya kuchemsha ina choma kijiji kizima una ambiwa usikaze tako itakatika ipo moja tu!
kweli tulikuwa tuna kaza tako linakuwa kama jiwe ! Hawa wa sasa walaini hawana maadili
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
hio ndio dunia kijana, kama huna hela wewe ning'ombe kama ng'ombe zingine naukiumwa utalala zizini sio kwa kairuki wala Aga khan
Hata Muhimbili hatolala wala Palestina.:D

Everyday is Saturday................................:cool:
 
Back
Top Bottom