donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,031
- 21,499
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmehamia? Mimi msukuma wa nyanguge bageshiLeo sio sisi wasukuma naona mmehamia kwa jirani zetu
Mpya kwangu hii!Safi sana...
Ila unajua hata wanawake wanakosea sana kwenye kuvaa shela...
Shela jeupe ni la mwanamke ambae hajawahi kufanya matusi... shela jekundu ni la mwanamke aliyefanya sana matusi...
Cc: mahondaw
Hii swaga siyo ya nchi hii,Jamaa alifosiwa aje hivyo au swaga tu?
Hata wewe tungekukimbiaKila mtu angevaa kwa taaluma yake wengine tungewakimbia ukumbini
SikupingiHata wewe tungekukimbia
Ah wang'wise kinehe? Sengerema Nyehunge ndo home mkuu.Mmehamia? Mimi msukuma wa nyanguge bageshi
Ah wang'wise kinehe? Sengerema Nyehunge ndo home mkuu.