Shivers Club Arusha

bioto

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
1,261
2,095
Ooy wazoefu kuna tatizo gani hukuk kwani huruhusiwi kusinzia, nashangaa nimesinzia mabaunsa wamekuja wananitoa mpaka nje!
 
Toka shivers ingia mrina utalala vizuri ila ukishtuka hata iyo ngo'ra uliyoitumia kupost huu uzi hautakua nayo.....au chukua gest brihgt house ukalale...
Aisee Arifu mi sijawahi ibiwa hapa dunianiani
 
Toka shivers ingia mrina utalala vizuri ila ukishtuka hata iyo ngo'ra uliyoitumia kupost huu uzi hautakua nayo.....au chukua gest brihgt house ukalale...
Bright house ndo ukipita pale nje mchanaunasikia "Shemeji karibu".
 
Back
Top Bottom