Shitambala ajiuzulu uongozi wa CHADEMA Mbeya!

Sir John

Senior Member
Aug 19, 2010
177
1
Aliyekuwa Mweneykiti wa CHADEMA mkoa wa Mbeya mwanasheria SAMBWEE SHITAMBALA amejiuzulu nafasi hiyo!

Anakabiliwa na shutuma za kupokea 600million toka kwa CCM na akuuuza ubunge kwa mchungaji wa CCM.
Shitambala Amedai kila akitaka kujieleza juu ya tuhuma hapati ushirikiano kutoka kwa mwenyekiti taifa bwana Mbowe.

Hili sasa ni pigo kwa CHADEMA - MBEYA
 
CHADEMA: If there's evidence no need of kukumbatia, only solution is to suck him.. And this gonna be example for other cocroaches with this idea
 
I think shitambala amejieleza vizuri sana na hakuwa na njia nyingine... amejiuzulu uongozi na hajasema amejitoa

Nadhani habari kamili unaipata michuzi blogsopt
 
And this gonna be example for other cocroaches with this idea

Mkuu hilo neno liliwahi kutumika mahali fulani kuchochea mauaji, ila naamini wewe hukuwa na mtazamo huo. By the way Shitambalala ni mara ya pili sasa tuhuma za kukisaliti chama zinamkumba ya kwanza ni ile ya 2008 kwenye uchaguzi mdogo.

kwa habari hii yale magazeti ya "CCM" yatapata habari ya kuandika chadema yaanza kumeguka
 
Tuko vitani, msaliti ye yote mara moja anatupwa nje bila woga, Mungu ataleta wengine makini. CDM kwa sera na uongozi makini ina uvuto mkubwa - msikumbatie awaye yote kwa kuogopa kupoteza jimbo.

Watu wa aina hiyo, wafikishe mahali fedha hizo za aibu na fehdeha ziwafikishe mahali pa kujinyonga kama yuda iskariote! Msiwafumbie macho! Struggle forward iende sambamba na quality, at the top, na quantity at the bottom!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sielewi kwanini chama kinaweza kujaribu kununua ubunge kwa kiasi hicho. Ni vigumu kuamini.. lakini vile vile sijaona kwanini hadi sasa haijawezekana kuwatega hawa watu wanaopita na kutoa ofa za namna hiyo.

a. Hakuna aliyetegwa akinunua shahada
b. Hakuna aliyetegwa akiuza kura
c. Hakuna aliyetegwa akinunua Ubunge

Vyote vinasadikiwa vinatokea.
 
can't believe this, ila ka anazingua wacha asepe tu, sio issue!
Kweli.

Ni bora kuwa na kikundi cha watu wachache chenye fikra sahihi na wenye kujitoa kusimamia haki, kuliko kundi kubwa la wachumia tumboni.
 
600Milioni kisu kizuri hicho na hata mimi ningewatosa.

Hivi tunaota au ndiyo kila linalosemwa liaminiwe tu bila ya kulidadisi.Mtu atoe milioni mia sita kwa ubunge halafu ndiyo iweje?Hata madili yote ya miaka 5 yatalipa kweli labda apewe wizara ya miundo mbinu au madini na hapo kila mkataba akubali kuitosa nchi.
 
Sielewi kwanini chama kinaweza kujaribu kununua ubunge kwa kiasi hicho. Ni vigumu kuamini.. lakini vile vile sijaona kwanini hadi sasa haijawezekana kuwatega hawa watu wanaopita na kutoa ofa za namna hiyo.

a. Hakuna aliyetegwa akinunua shahada
b. Hakuna aliyetegwa akiuza kura
c. Hakuna aliyetegwa akinunua Ubunge

Vyote vinasadikiwa vinatokea.
Mwanakijiji!
Mambo mengine uzushi tu.Inawezekana kununuliwa lkn si kwa kiasi hicho tajwa.
 
Sielewi kwanini chama kinaweza kujaribu kununua ubunge kwa kiasi hicho. Ni vigumu kuamini.. lakini vile vile sijaona kwanini hadi sasa haijawezekana kuwatega hawa watu wanaopita na kutoa ofa za namna hiyo.

a. Hakuna aliyetegwa akinunua shahada
b. Hakuna aliyetegwa akiuza kura
c. Hakuna aliyetegwa akinunua Ubunge

Vyote vinasadikiwa vinatokea.

Hayo yote a,b na c yangewezekana kama TAKUKURU ingefanywa iwe taasisi huru. Hiyo ni assignment kwa bunge hili 2010-15
 
I think shitambala amejieleza vizuri sana na hakuwa na njia nyingine... amejiuzulu uongozi na hajasema amejitoa

Nadhani habari kamili unaipata michuzi blogsopt

Sasa wewe unaanza ku-mislead watu mahala pa kupata habari huru, hiyo blog inatofauti gani na gazeti la Uhuru au Daily news? kama kuna source nyingine plz nilikwisha acha kuvist hako kablog
 
Aliyekua Mweneykiti wa CHADEMA mkoa wa mbeya mwanasheria SAMBWEE SHITAMBALA amejiuzulu nafasi hiyo!Anakabiliwa na shutuma za kupokea 600million toka kwa CCM na akuuuza ubunge kwa mchungaji wa CCM.
Shitambala Amedai kila akitaka kujieleza juu ya tuhuma hapati ushirikiano kutoka kwa mwenyekiti taifa bwana Mbowe.
Hili sasa ni pigo kwa CHADEMA_MBEYA.

huyo asiishie kujiuzulu bali akiache chama kilichomfanya apate umaarufu. kwanza alishajigamba katika kampeni kwamba hela anazopata katika uwakili ni maradufu kuliko posho za ubunge. kwake ubunge haukuwa issue.
 
Ni kweli kabisa Michuzi blogspot si source huru kabisa. Kama mtu ana muda wa kupoteza tu ni bora akawatembelea wagonjwa hospitali kuliko kutembelea hiyo site.
 
Back
Top Bottom