Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlolongo huu wa tozo afu bado raia walipe kodi vizuri?.Aisee ni kiboko malipo juu ya malipo utadhani kuna kitu cha maana kinafanyika mkikosa hela mnaamua kukaba sasa...leseni ya biashara jiji,TRA,Jiji usafi,Fire sijui,Ulinzi shirikishi wa jiji hii wanafata watu wa kata,Ulinzi,Mashine ya Efd biashara hiyo hiyo moja sasa mnakuja na kibali cha Tbs hatari ndio maana wengi wanakwepa kuwa mfumo rasmi kwa sababu ya ukabaji huu...
Kwa sheria ipi? Unapoweka tozo, weka na sheria inayokupa mamlaka ya kuweka hiyo tozo.
Nchi hii wafanya biashara wanaminywa sana, kila Leo wanaongezewa tozo yani kiosk kimoja, kinalipa Kodi karibu kumi na bado wanaendelea kubuni zingine.Wizi Mwingine wa Kiaina kwa Wafanyabiashara. Sijui kuna leseni ngapi mpaka ufungue biashara
Kuna nyingine wanaita service nini sijuiAisee ni kiboko malipo juu ya malipo utadhani kuna kitu cha maana kinafanyika mkikosa hela mnaamua kukaba sasa...leseni ya biashara jiji,TRA,Jiji usafi,Fire sijui,Ulinzi shirikishi wa jiji hii wanafata watu wa kata,Ulinzi,Mashine ya Efd biashara hiyo hiyo moja sasa mnakuja na kibali cha Tbs hatari ndio maana wengi wanakwepa kuwa mfumo rasmi kwa sababu ya ukabaji huu...
Ni hatari sana ndio maana wanajisifia tuna hela nyingi yaani niliangalia bidhaa moja tuu inayouzwa Lundo la Kodi iliyopo watu kufanikiwa ni ngumu sana labda kwa wakwepaji...Mlolongo huu wa tozo afu bado raia walipe kodi vizuri?.
Wanaongeza ugumu wa kazi kwenye kuanza biashara...hivyo kuua uchumi...
Hapo bado TRA kukulipisha kodi kabla hujaanza biasharaa haloooo....
No wonder watu wataendelea kukwepa kodi
Mama Ntilie wako kwenye kundi gani hapo ?
Kwahiyo wenyewe hawatasajiliwa ?Mama ntilie na machinga ni wanyonge.. ukiwagusa tu kazi huna
wanaouza chakula faraghaMama Ntilie wako kwenye kundi gani hapo ?
Naona kama tangazo limewagusa pia hasa wenye mitaji ya katiwanaouza chakula faragha