Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeagiza majengo ya baa, kantini, mihagawa, maduka makubwa, hoteli na maduka ya vipodozi visajiliwe na walipe tozo

Isanga family

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
9,273
2,000
Aisee ni kiboko malipo juu ya malipo utadhani kuna kitu cha maana kinafanyika mkikosa hela mnaamua kukaba sasa...leseni ya biashara jiji, TRA, Jiji usafi, Fire sijui, Ulinzi shirikishi wa jiji hii wanafata watu wa kata,Ulinzi,Mashine ya Efd biashara hiyo hiyo moja sasa mnakuja na kibali cha Tbs hatari ndio maana wengi wanakwepa kuwa mfumo rasmi kwa sababu ya ukabaji huu...
 
LadyRed

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
9,647
2,000
Leseni ya biashara haitoshi kuonyesha premise registration/eneo ulilopewa na kukaguliwa na Jiji/halmashauri?

Aidha TRA kupitia TIN kuna taarifa za eneo la biashara pia.,

Nini tofauti na hiki ambacho TBS wanakiibua leo?

Wenye uelewa mtusaidie,
 
LadyRed

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
9,647
2,000
Aisee ni kiboko malipo juu ya malipo utadhani kuna kitu cha maana kinafanyika mkikosa hela mnaamua kukaba sasa...leseni ya biashara jiji,TRA,Jiji usafi,Fire sijui,Ulinzi shirikishi wa jiji hii wanafata watu wa kata,Ulinzi,Mashine ya Efd biashara hiyo hiyo moja sasa mnakuja na kibali cha Tbs hatari ndio maana wengi wanakwepa kuwa mfumo rasmi kwa sababu ya ukabaji huu...
Mlolongo huu wa tozo afu bado raia walipe kodi vizuri?.

Wanaongeza ugumu wa kazi kwenye kuanza biashara...hivyo kuua uchumi...
Hapo bado TRA kukulipisha kodi kabla hujaanza biasharaa haloooo....

No wonder watu wataendelea kukwepa kodi
 
kichomiz

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
18,257

Kuna nyingine wanaita service nini sijui
 
Isanga family

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
9,273
2,000
Mlolongo huu wa tozo afu bado raia walipe kodi vizuri?.

Wanaongeza ugumu wa kazi kwenye kuanza biashara...hivyo kuua uchumi...
Hapo bado TRA kukulipisha kodi kabla hujaanza biasharaa haloooo....

No wonder watu wataendelea kukwepa kodi
Ni hatari sana ndio maana wanajisifia tuna hela nyingi yaani niliangalia bidhaa moja tuu inayouzwa Lundo la Kodi iliyopo watu kufanikiwa ni ngumu sana labda kwa wakwepaji...
 
PTER

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
17,238
2,000
Mama ntilie na machinga ni wanyonge.. ukiwagusa tu kazi huna
Kwahiyo wenyewe hawatasajiliwa ?

Halafu hizo tozo mbona TFDA ilikuwa inalalamikiwa hivyo hivyo kuhusu tozo na TBS nao wamekuja na yale yale
 
Flano

JF-Expert Member
Aug 7, 2019
1,434
2,000
Safi sanaaa
Haya ndio mazingira rafiki kwa wafanya biashara na wawekezaji hapa nchi.
Hongera kwa serikali ya awamu ya tano kwa kuwajali wanachi wake.

Maendeleo hayana chama.
 
PTER

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
17,238
2,000
Mimi bado sijaona tija ya kuvunjwa kwa TFDA.

TFDA ilikuwa efficient kwenye haya masuala kuliko TBS
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom