Hahahaha ni kisanga mzeeKuna zile umenunua hata wiki hazimalizi sikio moja linapiga na umenunua og
Inawezekana kinachopelekwa tbs na kinachopelekwa mtaani NI tofauti .ndo maana mdau hapo kasema ni kazi ya polisiWenye uwezo wa kutambua bidhaa zisizokidhi viwango ni TBS, polisi kazi yao ni kukamata kwa maelekezo ya mlalamikaji, TBS. Siamini kama polisi wanazo maabara za kupimia ubora wa bidhaa.
Late 20's kwahyo Acha niendelee kumalizia ujana mkuuBila shaka age yako itakuwa kwenye 20's.
Sawa uwanja ni wako.Late 20's kwahyo Acha niendelee kumalizia ujana mkuu
Na wauzaji wanapiga hela. Earth rod ndani ni chuma, juu imepakwa shaba na inauzwa kwa bei ya shaba. Hata Tanesco wanalijua hili, lakini hawana la kufanya.Nondo siku hizi ni laini sana..na urefu umepungua
Misumari nayo milaini sana..
Cement 50kg haifiki ...
Earth rod ambazo sio copper zpo kibao...
Circuit breaker nying ni mapambo..hazifanyi kaz
Kiufupi, kwenye ujenzi 80% ya vifaa ni feki
Pima na unene, 12mm utakuta ni 11mm, 16mm utakuta ni 15mm! Au vernia caliper nazo ni fake?Nondo wanasema Ni futi 40, ila ukipima Ni futi 36.
Almost futi 4 zote wameiba
Polisi hatafuti makosa, hata plain cloth police wako kwenye upelelezi, japo hu- intercept wakiona kiashiria cha uharifu. Kwa Tanzania ni hukumu la TBS kuainisha viwango na kuhakikisha vinafuatwa. Kushindwa jukumu lao, njia ni nyeupe, watu wameumia vya kutosha.Inawezekana kinachopelekwa tbs na kinachopelekwa mtaani NI tofauti .ndo maana mdau hapo kasema ni kazi ya polisi
Kuna ujenzi wa mkataba Dar, 25yrs after unaachia nyumba (sijui kama bado upo baada ya vyuma kukaza). Mjenzi anatumia material duni (miaka 25 sipo) , kumbe nazo ni fake!Nondo siku hizi ni laini sana..na urefu umepungua
Misumari nayo milaini sana..
Cement 50kg haifiki ...
Earth rod ambazo sio copper zpo kibao...
Circuit breaker nying ni mapambo..hazifanyi kaz
Kiufupi, kwenye ujenzi 80% ya vifaa ni feki
Sasa Kama wafanyabiashara walipeleka sampo ya bidhaa nzuri ,lakini kumbe kwenye mzigo wenyewe ndani yake kuna bidhaa feki.Polisi hatafuti makosa, hata plain cloth police wako kwenye upelelezi, japo hu- intercept wakiona kiashiria cha uharifu. Kwa Tanzania ni hukumu la TBS kuainisha viwango na kuhakikisha vinafuatwa. Kushindwa jukumu lao, njia ni nyeupe, watu wameumia vya kutosha.