Uchaguzi 2020 Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake

Ukitaka kujua ni tatizo wangeguswa ata wale jamaa wa CPJ waliompa Melo tuzo ungewasikia.

Uwezi tishia usalama wa waandishi wa habari ndio maana ata katikati ya vita ukiuwa mwandishi wa habari hakuna atakae kuunga mkono.
mbona mtoto pwenda alivamia kituo cha tv? Azam wameonesha TL akiomba michango ina maana hana alichoongea zaid ya michango? Tena wameonesha jukwaa tu. Kisha wakamuonesha polepole dk kibao, wamefanya vizur kuwatimua wanafik, Mbowe kesho timua Azam
 
Hivi polisi wanataka wananchi wawe na uzalendo upi huo wakati wana shida lukuki, uzalendo hauwezi kutokea wakati watu wana njaa hadi mifukoni mwao at the same time walioshiba wanawambia wawe wazalendo
 
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake katika mkutano wao wa kuzindua Kampeni za Mgombea wao wa Urais katika viwanja vya Zakheim, Mbagala Jijini Dar es Salaam, jioni hii.

TBC1 na TBC Taifa kama chaneli za umma zilikuwa zinarusha matangazo ya moja kwa moja kwenye uzinduzi huo kwa mujibu wa sheria na miongozo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

Hata hivyo, kwa mujibu wa mwongozo wa Tume wa mwaka 2020, (kifungu e na j), kanuni za maadili ya tasnia ya habari; vyombo vya utangazaji vya umma pia vinao wajibu wa kuhakikisha maudhui yanayorushwa hewani yanazingatia maadili ya taaluma na ya jamii.

Kitendo cha uongozi wa CHADEMA kutangaza kuwafukuza watangazaji wa TBC si cha kiungwana na kinahatarisha usalama wa watendaji hao na vifaa vyao.

Pamoja na kwamba TBC inapanga kutoa taarifa rasmi Polisi na kwenye Tume ya Taifa ya Uchaguzi, kwa sasa inasitisha rasmi kurusha matangazo ya CHADEMA hadi hapo watendaji wake watakapohakikishiwa usalama.

TBC inapenda kutimiza wajibu wake wa kisheria na imekuwa tayari, siku zote, kufanya kazi na vyama vyote vya siasa bila ubaguzi.
News Alert: - Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa

Tibiisii, chaneliten na staatiivii ni miongoni mwa media hawajitambui wao ni nani na wanapaswa kufanya nini...
 
Kwanini mlikuwa mnakata matangazo kwakuingiza maneno ya watangazaji
 
kwa sasa inasitisha rasmi kurusha matangazo ya CHADEMA hadi hapo watendaji wake watakapohakikishiwa usalama.
 
[SUB]TBC hawakupaswa kulalamika wanakusanya habari za nini iwapo hawazirushi kwenye radio na tv. Wafukuzwe tu kwa TBC wamepoteza direction. [/SUB]
 
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake katika mkutano wao wa kuzindua Kampeni za Mgombea wao wa Urais katika viwanja vya Zakheim, Mbagala Jijini Dar es Salaam, jioni hii.

TBC1 na TBC Taifa kama chaneli za umma zilikuwa zinarusha matangazo ya moja kwa moja kwenye uzinduzi huo kwa mujibu wa sheria na miongozo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

Hata hivyo, kwa mujibu wa mwongozo wa Tume wa mwaka 2020, (kifungu e na j), kanuni za maadili ya tasnia ya habari; vyombo vya utangazaji vya umma pia vinao wajibu wa kuhakikisha maudhui yanayorushwa hewani yanazingatia maadili ya taaluma na ya jamii.

Kitendo cha uongozi wa CHADEMA kutangaza kuwafukuza watangazaji wa TBC si cha kiungwana na kinahatarisha usalama wa watendaji hao na vifaa vyao.

Pamoja na kwamba TBC inapanga kutoa taarifa rasmi Polisi na kwenye Tume ya Taifa ya Uchaguzi, kwa sasa inasitisha rasmi kurusha matangazo ya CHADEMA hadi hapo watendaji wake watakapohakikishiwa usalama.

TBC inapenda kutimiza wajibu wake wa kisheria na imekuwa tayari, siku zote, kufanya kazi na vyama vyote vya siasa bila ubaguzi.
News Alert: - Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa
Alisikika .... akisema
 
Sio tu chadema..... Watz wote hawaitaki tbc hata pale mwenyekiti aliwauliza watz waliomjibu WATOKEEE.....
 
Wakuu nawasalimu heshima iwe juu yenu,

Baada ya nguvu ya umma kuitimua tbc leo viwanja vya zakhiem kutokana na kuonyesha matangazo ya mkutano wa CHADEMA kwa hila kwa kukatisha masuala ya msingi kwa taifa ambayo wanahisi watawala hawayapendi kuyasikia,shirika hilo la utangazi la taifa limesema litaenda polisi kuishtaki chadema na kushitaki kwa Nec

Akili za kilevi, washitaki nini? Kwani waliwaita au yalijipeleka?
 
Shirika la hovyo sana,
Kuanzia watangazaji,wanavaa hovyo,
leo kipindi Cha magazeti mtangazaji wa kiume,anaonewkana Kama ana hangover,anaongea Kama kalazimishwa,hakuna "chemistry"yoyote na mwenzake wa kike,(wanaoangslia citizen ya Kenya wataelewa hili),alikuwa anamwangalia mwenzake Kama anataka kumrukia vile,wapigane pipe
 
Wenye akili ya ziada hawaoni kama kuitoa ccm madarakani ndio solution kwenye kivuli cha kuaminishwa kuwa ni demokrasia.

wenye akili ya ziada wanajua kutenga ukweli na siasa.

mabadiliko ya kweli yanaanza na wewe (self-government) kamwe usitegemee mtu fulani aje akuletee mabadiliko uanayotaka huo ni utahira.

CDM wamenisikisha sana kwa kuwa na ujasiri wa hata kuvunja amani ya taifa la mama zao kwa kivuli cha eti demokrasia uchwara kwa kutegemea backup ya wadau fulani wakidhani watapata wanachotaka huo ni utahira uliopindukia.

iko wapi Libya ya gadafi na Libya ya demokrasia ya wazungu walioitaka kwa kumuondoa mzalendo :(
Umbwa ww
 
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake katika mkutano wao wa kuzindua Kampeni za Mgombea wao wa Urais katika viwanja vya Zakheim, Mbagala Jijini Dar es Salaam, jioni hii.

TBC1 na TBC Taifa kama chaneli za umma zilikuwa zinarusha matangazo ya moja kwa moja kwenye uzinduzi huo kwa mujibu wa sheria na miongozo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

Hata hivyo, kwa mujibu wa mwongozo wa Tume wa mwaka 2020, (kifungu e na j), kanuni za maadili ya tasnia ya habari; vyombo vya utangazaji vya umma pia vinao wajibu wa kuhakikisha maudhui yanayorushwa hewani yanazingatia maadili ya taaluma na ya jamii.

Kitendo cha uongozi wa CHADEMA kutangaza kuwafukuza watangazaji wa TBC si cha kiungwana na kinahatarisha usalama wa watendaji hao na vifaa vyao.

Pamoja na kwamba TBC inapanga kutoa taarifa rasmi Polisi na kwenye Tume ya Taifa ya Uchaguzi, kwa sasa inasitisha rasmi kurusha matangazo ya CHADEMA hadi hapo watendaji wake watakapohakikishiwa usalama.

TBC inapenda kutimiza wajibu wake wa kisheria na imekuwa tayari, siku zote, kufanya kazi na vyama vyote vya siasa bila ubaguzi.
News Alert: - Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa

Wasichanganye habari hawakufukuzwa na Chadema bali walifukuzwa na wenye TBC (wananchi).CDM waliomba tu mwongozo kutoka kwa wamiliki wa TBC (wananchi)amabo ndio waliofanya maauzi ya kuwaondoa
 
Libadili jina, liwe shirika LA utangazaji Lumumba (LBC)
Miaka ya nyuma jina lumumba lilikuwa na heshima kwasababu ya mwanamapinduzi Patrice Emily Lumumba Leo hii kwasababu ya CCM jina lumumba linatumika Kama kejeli.
 
Back
Top Bottom