Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawaomba radhi wateja wake wa Dar es Salaam na Zanzibar kwa kukosa huduma ya umeme kuanzia saa 8:02 usiku

Dar sio huko Kolomije ambako mnaishi kwa kulima mihogo! Mimi kwa mfano, all I make kinategemea online kwa 100%! Nitaingia vp online wakati hamna umeme?!! Hapa mimi mwenyewe nimeshituka kusikia tatizo ni national grid manake ningejua tatizo ni kubwa namna gani, nisingewasha laptop mida kama hii kwa sababu kazi zangu zinafuata Eastern Standard Time ambayo kwa sasa sio business hours!
Kasema kuhusu kuogopa giza. Hajasema kuhusu kazi mtu anafanya. Pengine na yeye anategemea mtandao ila haogopi giza kama mwanaume wa Dar.
 
Muhaya hajifichi
 
Kasema kuhusu kuogopa giza. Hajasema kuhusu kazi mtu anafanya. Pengine na yeye anategemea mtandao ila haogopi giza kama mwanaume wa Dar.
Kauli "tupo gizani" haimaanishi giza kama gizani bali ni kauli inayomaanisha kutokuwapo na umeme!! Hata kama mtu ataandika mchana ng'ombe anakula majani, bado anaweza kuandika "Dar ipo gizani" na kwa maana nyingine shughuli nyingi zinasimama!!
 
We pimbi sio kuogopa giza, miaka hamsini na ushee ya uhuru hamna umeme imara mnategemea nini....kuna nchi hata hawajui maana ya kukatika umeme..
Umri wote huo hauna kajenereta hata kamilioni 10 tu! Wenzio ukikatika kanajiwasha pyuu!
 
Back
Top Bottom