Shirika la umeme Tanzania namba za Mameneja wa mikoa kwa kila kanda/mameneja waandamizi wa kanda

Koleba

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
376
83
NAMBA ZA SIMU ZA MAMENEJA WA MIKOAKWA KILA KANDA



Namba za simu zilizoko hapa chini ni za Mameneja wa Mikoa mbalimbali. Simu hizi zitatumiwa na wateja kuwasiliana na Meneja husika wa Mkoa pale ambapo tatizo lake halikuweza kutatuliwa na wafanyakazi wa ngazi za chini kupitia dawati la dharura (Emergency Office).
Namba


KANDA YA DSM NA PWANI
1 ILALA Eng. Athanasius Nangali 0689 877 735
2 KINONDONI KASKAZINI Eng. Raymond Seya0689 638 266
3 KINONDONI KUSINI Eng. Henryfrid Byabato 0684 889 884
4 TEMEKE Eng. Jahulula M. Jahulula 0782 926 200
5 PWANI Eng. Martin Madulu 0786 300 139


KANDA YAKASKAZINI
6 ARUSHA Eng. Gaspar Msigwa 0684 885 270
7 TANGA Eng. Richard Mallamia 0786 864 411
8. KILIMANJARO Eng. Maclean Mbonile 0787 365 678
9. MANYARA Eng. Gerson Manase 0788 108 800


KANDA YA ZIWA
10 MWANZA Eng. Sarah Assey 0784902345
11 KAGERA Eng. Hassan Said 0786899998
12 MARA Eng. Obey Sigala 0784418283
13 GEITA Eng. Joachim Ruweta 0787622842
14 SIMIYU Eng. Rehema Mashinji 0784411790


KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI
15 MBEYA Eng. Francis Maze 0785392312
16 IRINGA Eng. Seraphin Lyimo 0787180143
17 RUKWA Eng. Herini Mhina 0683119480
18 NJOMBE Eng. Julius Sabu 0687230833


KANDA YA KATI
19 DODOMA Eng. Zakayo Temu 0782190080
20 MOROGORO Eng. John Bandiye 0786214499
21 SINGIDA Eng. Gamba Mauggira 0784902383


KANDA YA MAGHARIBI
22 TABORA Eng.Mohammed Abdallah 0789586820
23 SHINYANGA Eng. Mathias Salongo 0786456205
24 KIGOMA Eng. Masigija Lugata 0786405085
25 KATAVI Eng.Emmanuel Kachewa 0784300352


KANDA YA KUSINI
26 MTWARA Eng.Aziz Salum 0687296584
27 LINDI Eng. Johnson Mwigune 0782222997
28 RUVUMA Eng. Patrick Lwesya 0784551944



NAMBA ZA SIMU ZA MAMENEJA WAANDAMIZI WA KANDA



Mameneja Waandamizi wa Kanda watahusika katika kutatua matatizo ya wateja ambayo yameshindikana kutatuliwa Mkoani.


1. Kanda yaKusini
(Mtwara, Lindi & Ruvuma)Bi. Joyce Ngahyoma
0784275936


2. Kanda yaNyandazaJuuKusini
(Mbeya, Iringa, Rukwa&Mjombe) Bi. Salome Nkondola 0787286 599


3 Kanda ya Dar es Salaam naPwani
(KinondoniKaskazininaKusini, Temeke, Ilala &Pwani) Eng. Mahende Mugaya 0784277953


4 Kanda yaKaskazini
(Tanga, Arusha, Kilimanjaro & Manyara) Eng. Stella Hiza
0784902346


5. Kanda yaZiwa
(Mwanza, Kagera, Mara, Simiyu &Geita) Eng. Amos Maganga
0784902324


6. Kanda ya Kati
(Dodoma, Morogoro & Singida) Eng. Deogratius Ndamugoba
0687848400


7. Kanda yaMagharibi
(Tabora, Shinyanga, Katavi & Kigoma) Eng. Engelbert Makoye
0786454611
 
TANESCO wana bifu na Voda!!
Hakuna meneja mwenye Voda!!
Any way acha tuwapandie hewani
 
Duh,wanapewa air time za bure nin? maana wote airtl,au ndo mpango km wa kupeana units bure? dalili ya jipu hapa
 
Hao mameneja wanapokea hizo simu kweli au ndio zimewekwa kama bosheni tu...?
 
Back
Top Bottom