viatu virefu
Senior Member
- May 25, 2015
- 165
- 20
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)
TAARIFA YA KUOMBA RADHI MKOA WA TEMEKE.
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)
mkoa wa Temeke linaomba radhi wateja wake kutokana na kukosekana kwa umeme leo Jumapili Januari 24, 2016 kuanzia saa 4.00 asbh hadi saa 7.30 mchana.
SABABU kubwa ilikuwa ni hitilafu kwenye line ya umeme eneo la Bandari.
Maeneo yalikuwa yameathirika ni Kurasini na Mbagala. Mafundi wa Tanesco walifakiwa kubadili vifaa hivyo na maeneo yote kwa sasa yanapata umeme.
Uongozi wa Shirika uomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza.
Imetolewa na Ofisi ya Uhusiano TANESCO Makao Makuu.