Shirika la Nyumba kung'arisha nchi. Laanza kujenga nyumba 1000 Dodoma

Mabavicha yatakwambia hayo ni maendeleo ya vitu.

Pia yatakwambia dodoma kuna kitu gani cha maana mpka zijengwe hizo nyumba?

Haya mafuasi ya mr belgiji yana kazi sana
Yawezekana ndio siasa zinazotakiwa tatizo bado kujenga tu
 
Dodoma inarudi Dar kimya kimya
Kweli tulipata Uhuru wa kwanza Russia (Tanganyika Mwaka 1986 ambapo ni Nchi pekee ambayo Queen wa Uingeleza anaijua) baada ya hapo uhuru mwingine tukapata IKULU (Tanzania mwaka 1964 ambapo TANGANYIKA na Zanzibar ziliungana
🎶
🎶
🎶
)

Je!?

Hii Nchi iliyodharau kiti cha umoja wa kimataifa INAKUBALIKA kweli kwenye kila kitu!? Bora mwili utengeneze mfuko wa TANGANYIKA kuziba maamuzi ya MTU mmoja kwa niaba ya WATANZANIA wote...

Maamuzi ya MTU mmoja yalidhihilika wakati wa JPM hadi leo hayajakubalika vizuri!?

- 1. SERIKALI KUAMIA DODOMA
2. UNUNUZI WA NDEGE
3. WATUMISHI HEWA

Hii ni ISHARA NZURI TANZANIA ALIKUFA NAYO WALIOILETA NYERERE NA KARUME
 
Usituletee udini hapa punguani wewe
NHC wameamua kutumia UCHAWI ili miji ING'ARE..... Zaidi ya magorofa 500 yameota maeneo ya Nzuguni DODOMA leo... Kwa sasa HALMASHAURI YA JIJI INAANGAIKA KUMILIKISHA WATU MAGOROFA HAYO... HAKIKA UCHAWI UNALIPA BADALA YA KUJENGA UNAKUTA MAJENGO YAMEOTA KAMA UYOGA, MAHARAGE.... yanavutia.

download.jpg
 
Ile plan ambayo ilitumika magomeni Kota, ingetumika maeneo mengine hapa Dar, ingesaidia kuondoa vibanda umiza katikati ya jiji.

Maeneo Kama Tandale, Manzese, mikocheni A nk, ingetumika Ile plan. Serikali mbali na kupata fedha kupitia wapangaji, inaweza kupata viwanja vitakavyokuwa vimepimwa na kuviuza kwa watu wengine
 
Back
Top Bottom