Shirika la ndege Tanzania -ATCL limezindua safari kutoka Dar es Salaam kwenda Nairobi nchini Kenya ambapo ndege za Air Tanzania zitasafiri mara mbili

Wazo Kuu

Senior Member
Oct 21, 2018
114
293
Shirika la ndege Tanzania -ATCL limezindua safari kutoka Dar es Salaam kwenda Nairobi nchini Kenya ambapo ndege za Air Tanzania zitasafiri mara mbili kwa siku kuanzia leo Ijumaa tarehe 26 Novemba, 202.


ATCL  4.jpeg

ATCL  3.jpeg

#TanzaniaImara💪🏿#TupoVizuri #KaziIendelee🇹🇿
 
Nice move...ipambane kuboresha huduma hii route ya watalii na wakuu wa makampuni...pia wasafiri wanaounga Nairobi vile ni hub ya KQ
 
Bravo !!. KQ walikuwa wanakera sana. Cha msingi ATCL wajitahidi kutoa huduma nzuri na hasa kuzingatia ratiba. Nadhani Précision Air watabanwa mbavu sasa.. Tangu ninunue hisa Zao hakuna hata AGM...nitawashukia kudai changu soon.
 
Back
Top Bottom