Shirika la Ndege la Afrika Kusini 'South African Airways' halijawahi kupata faida toka mwaka 2011, wafanyakazi wamegoma

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,321
Wafanyakazi wa Shirika la Ndege la Afrika Kusini wamegoma baada ya kukosa mishahara kwa miezi kadhaa kutokana na shirika hilo lenye ndege zaidi ya 40 na vituo (destinations) zaidi ya 42 duniani kutokupata faida kwa miaka zaidi ya 8 kutokana na biashara ya ndege kutokuwa na faida.

=====
South African Airways (SAA) says its future is hanging in the balance after its workers went on strike on Friday to demand higher wages and protest planned job cuts, forcing the struggling state-owned carrier to cancel all flights.

SAA, which has not turned a profit since 2011 and is reliant on state bailouts, says the walkout by unions representing more than half of its workforce will cost it 50 million rand ($3.36m) a day and threatens its survival.

The unions rejected SAA's revised wage offer late on Thursday, and are also striking over the carrier's plans to cut more than 900 jobs in a bid to stem financial losses.

SAA's acting chief financial officer, Deon Fredericks, told radio station 702 that the strike jeopardised ongoing negotiations with lenders on funding SAA needs to stay afloat.

"If we don't get that funding, we'll not be able to continue," he said.

SAA's woes mark a dramatic fall from grace over the past decade, which has seen the flag carrier lose its place as Africa's biggest airline and become a source of frustration for taxpayers who have forked out more than 30 billion rand (two billion dollars) since 2012 to keep it in the air.

Now, without a permanent CEO, the airline faces mammoth turnaround requirements, including cost-cutting decisions that have been put off for years in a country where job cuts are a hugely sensitive issue. Unemployment is running at close to 30 percent.

The National Union of Metal Workers of South Africa (NUMSA) and the South African Cabin Crew Association (SACCA), who called the SAA strike, said the action will continue until their demands - including an 8 percent wage hike and job security - are met.

NUMSA spokeswoman Phakamile Hlubi-Majola said the airline's problems were a result of repeated management failures, and workers should not have to bear the consequences.

Talks between the airline and the union were scheduled to restart on Saturday. More than 200 flights were affected on Friday and Saturday, SAA spokesman Tlali Tlali told Reuters.

"Where is the money?"
SAA extended its cancellation of domestic and regional flights from Saturday to Monday, saying passengers would be accommodated on its sister airlines Mango and Airlink.

It said it was aiming to operate most of its international flights departing from Johannesburg from Sunday, with some inbound flights starting on Monday.

While some passengers told Reuters the airline had made alternative arrangements for their travel, others were left unsure how they would get to their destinations.

Vicky Mojela, 26, had been due to catch a flight to Uganda to attend wedding celebrations. She was told there were no direct or connecting flights.

"I'm disappointed," she said. "I just hope it doesn't happen again."
At SAA headquarters near OR Tambo international airport in Johannesburg, hundreds of workers gathered on Friday singing protest songs and holding placards reading "Flights are full, where is the money?" and "We are not fools."

Cabin crew member Olwetu Mrwetyane, 36, said her 11 years at SAA have been marked by job insecurity.

"Even now, we don't know if we're going to have a job," the mother of two said, adding she would be left destitute if she was laid off.

SAA's problems highlight the scale of the challenge facing President Cyril Ramaphosa, who has staked his reputation on turning around several ailing state-run firms that threaten the recovery of a stagnant economy.

Many have been left in dire financial straits by years of mismanagement and weak governance, analysts say.

Zemedeneh Negatu, Chairman of Fairfax Africa Fund, a private equity fund that has worked with 14 African airlines, said SAA had much bigger problems than a labour strike, including its governance and its debts.
Those stand at more than 12 billion rand, though the government has said it will pay the bulk of that over the next three years.

"When you have [that much debt] on your balance sheet, trust me, labour is not your issue," Negatu said.
 
Wafanyakazi wa shirika la ndege la Afrika Kusini wamegoma baada ya kukosa mishahara kwa miezi kadhaa kutokana na shirika hilo lenye ndege zaidi ya 40 na vituo(destinations) zaidi ya 42 Duniani kutokupata faida kwa miaka zaidi ya 8 kutokana na biashara ya ndege kutokua na faida.
Yote hayo ili Magufuli aonekane hafai?.Mtapata tabu sana .
 
Wafanyakazi wa shirika la ndege la Afrika Kusini wamegoma baada ya kukosa mishahara kwa miezi kadhaa kutokana na shirika hilo lenye ndege zaidi ya 40 na vituo(destinations) zaidi ya 42 Duniani kutokupata faida kwa miaka zaidi ya 8 kutokana na biashara ya ndege kutokua na faida.
wanacho itaji ni salary increase ya 8% shirika linawapa 5% wanakataaa izo habar zako ni uongo mtupu acha kupotosha watu kihivyo !!!
 
wanacho itaji ni salary increase ya 8% shirika linawapa 5% wanakataaa izo habar zako ni uongo mtupu acha kupotosha watu kihivyo !!!
Screenshot_20191116-143522_Chrome.jpg

Watu wavivu wa kusoma mnasaidiwa
 
Majibu rahisi kwenye hoja firikishi. Thats how CCM are
Mkuu,
Leo huyo mwana ccm ,praise team kaongea jambo lenye maana
Biashara kupata hasara ni kawaida na pia haimaanishi kama south wana hasara basi na nchi zingine zitapata
Kuna sababu nyingi huenda wanapata hasara kutokana na poor management
 
Wafanyakazi wa Shirika la Ndege la Afrika Kusini wamegoma baada ya kukosa mishahara kwa miezi kadhaa kutokana na shirika hilo lenye ndege zaidi ya 40 na vituo (destinations) zaidi ya 42 duniani kutokupata faida kwa miaka zaidi ya 8 kutokana na biashara ya ndege kutokuwa na faida.

Waje huku kwetu tuwape shule jinsi ya kuendesha na kusimamia hilo shirika ili lijiendeshe kwa faida. Maana ATCL wanasema wameweza nunua ndege kwa faida iliyopatikana toka kwa ndege walizo nunua awali (Panga boy)
 
Mkuu,
Leo huyo mwana ccm ,praise team kaongea jambo lenye maana
Biashara kupata hasara ni kawaida na pia haimaanishi kama south wana hasara basi na nchi zingine zitapata
Kuna sababu nyingi huenda wanapata hasara kutokana na poor management
Wanyarwanda pia waa poor management, wakenya, waganda, wanigeria, India, nk. Africa nzima shieika la ndege linalopata faida ni Eithiopia Airlines tu, mengine yote ni hasara. Rwanda wameamua kuuza shirika sababu ya hasara.

Labda sisi tutafanikiwa, labda.
 
Mkuu
You never know,
Mimi kwenye maisha huwa najiamini sana hata nikiona uwezekano wa kushindwa jambo huwa nakomaa tu
Labda tutatoboa,hasa ukizingatia tunapata watalii wengi
 
Kama hawapati faida kwanini waliendelea na hiyo biashara?! Umeshawahi kujiuliza hilo?!
Serikali za Afrika hupenda sifa ya kuonekana wana mashirika ya ndege yasiyo na faida. Miaka yote hili shirika limekua likijiendesha kwa mikopo na ruzuku ya serikali. Imefika hatua hata watoa mikopo hawataki kutoa mikopo tena.
 
Mkuu
You never know,
Mimi kwenye maisha huwa najiamini sana hata nikiona uwezekano wa kushindwa jambo huwa nakomaa tu
Labda tutatoboa,hasa ukizingatia tunapata watalii wengi
Mkuu, biashara ina kanuni zake, ni sawa na hesabu au physics au chemistry, zina kanuni zake, hakuna cha kubahatisha, yaani huwezi kuanzisha biashara kwa kutegemea bahati nasibu.

Alafu personal business decisions hazina madhara makubwa kwa watu, hii ya nchi ina madhara makubwa kwa watu.
 
Serikali za Afrika hupenda sifa ya kuonekana wana mashirika ya ndege yasiyo na faida. Miaka yote hili shirika limekua likijiendesha kwa mikopo na ruzuku ya serikali. Imefika hatua hata watoa mikopo hawataki kutoa mikopo tena.
Hiyo sifa ndio faida yenyewe, convert hiyo sifa into monetary term and tilt the balnce kwenye mzani kisha tuambie wanapata hasara au fada as a direct result ya tourism inayoletwa na hiyo sifa kimataifa.
 
Ukiwa short sighted, you can't see things into a big picture.

Ikiwa unafikiria hivi, hii ni hoja ya hovyo kabisa.

Zimbabwe yenye uchumi wa hovyo, haina shirika la ndege la kueleweka inapokea watalii karibu mara mbili ya watalii wetu Tanzania.

Ndege sio sababu ya kuleta watalii, hii ni hoja ya hovyo kabisa.
 
Siwezi ongelea Zimbabwe maana siwezi jua wazungu waliokuwa wakiishi huko kabla ya kufukuzwa walikuwa na ushawishi kiasi gani wa kuwavuta wenzao kuja kutalii kwa wingi. Naongelea shirika la ndege linalotua destinations mbalimbali duniani na effect yake katika kuleta watalii kwa direct flight bila kuunganisha, shirika linaweza likawa linapata hasara lakini ile multiplier effect ya watalii kuletwa kwa direct flight na hivyo kwa wingi zaidi kwa hoteli, makampuni ya utalii, makampuni ya usafirishaji na kadhalika ina out weigh ile hasara na hivyo ile overall net katika taifa inakuwa positive japo ile specific net kwa shirika ni negative na ndio maana ile excess inayopatikana kwingine inatumika kuliruzuku shirika la ndege ili liendelee kuchagiza a positive net katika sekta zingine. Think big!
Nikupe mfano, kisa kigamboni ferry ikatokea imeingiza hasara au kigamboni bridge ikatokea imeingiza hasara kwa mida mrefu utathubutu kuiua huduma ya ferry/ daraja kwa wananchi wa kigamboni kisa hasara inayopatikana au utatumia kodi inayopatikana kigamboni kupitia watu wanaovuka na hizo facilities ili kuliruzuku daraja na kivuko?
Huwa mnatumia mbinu gani kukwangua ubongo wote kichwani na kujaza kinyesi?
 
Siwezi ongelea Zimbabwe maana siwezi jua wazungu waliokuwa wakiishi huko kabla ya kufukuzwa walikuwa na ushawishi kiasi gani wa kuwavuta wenzao kuja kutalii kwa wingi. Naongelea shirika la ndege linalotua destinations mbalimbali duniani na effect yake katika kuleta watalii kwa direct flight bila kuunganisha, shirika linaweza likawa linapata hasara lakini ile multiplier effect ya watalii kuletwa kwa direct flight na hivyo kwa wingi zaidi kwa hoteli, makampuni ya utalii, makampuni ya usafirishaji na kadhalika ina out weigh ile hasara na hivyo ile overall net katika taifa inakuwa positive japo ile specific net kwa shirika ni negative na ndio maana ile excess inayopatikana kwingine inatumika kuliruzuku shirika la ndege ili liendelee kuchagiza a positive net katika sekta zingine. Think big!
Nikupe mfano, kisa kigamboni ferry ikatokea imeingiza hasara au kigamboni bridge ikatokea imeingiza hasara kwa mida mrefu utathubutu kuiua huduma ya ferry/ daraja kwa wananchi wa kigamboni kisa hasara inayopatikana au utatumia kodi inayopatikana kigamboni kupitia watu wanaovuka na hizo facilities ili kuliruku daraja na kivuko?
Huwa mnatumia mbinu gani kukwangua ubongo wote kichwani na kujaza kinyesi?
Sasa mfano tu wa zimbabwe umesema huwezi kuongelea sababu hujui, unawezaje kujadili mambo makubwa kama haya kama uko na limited exposure and little learning namna hiyo?
Kwa kukusaidia wewe na unsound minds wenzako, haya mambo yanahitaji uwe na akili, exposure na shule angalau kuweza kuyajadili.

Tatizo la nchi zetu masikini kama hizi unakuta mtu kama wewe, little learner, limited exposure, unsound and unstable mind ndio mnapewa nafasi ya kufanya maamuzi, ndio maana tutaendelea kua masikini siku zote, ile viscous circle of poverty haitatuacha.

I am just ignoring you as unsound, short sighted and unstable mind.
 
Back
Top Bottom