Habari za jioni wanajukwaa
Naomba niende moja kwa moja kwenye maada.
Mimi ni muagizaji mzuri wa magari Japan, UK
Kiukweli nakwazika mno na utendaji kazi wa kampuni ya EAA TANZANIA ambayo imepewa zabuni ya kukagua magari (na TBS) na kuyapa kibal cha kuingizwa kama yatakua yamekidhi vigezo
Niwakumbushe tu kampuni hii hua inalipwa dola 300 za marekani kwa kila gari linalokaguliwa.
Kinachosikitisha ni pale mteja unapoletewa gar mbovu, engine, au interior parts ambazo kwa kuangalia pichan huez gundua shida had zikaguliwe.
Najiuliza je hii kampuni inakua inakagua gari kikamilifu au hua wanapitisha tu!?
Binafsi nimekutana na kesi 2
1. Moja gari ilikuja imekufa shokap zote 4
2. Gari ilikuja engine mbovu haitembei ata hatua 10 inazima
Na gari zote zilikuq na certificate ya ukaguz na zilionyesha kupass
Wajuzi wa mambo nisaidien je hamna namna yeyote ambayo naweza kuwashtaki TBS kwa kunipa clear certificate wakat chombo n kibovu!?
Sent using Jamii Forums mobile app