kidambinya
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 1,176
- 1,712
Hata US kasanda kwa Kiduku, tusimdharau Ethiopia maana hatujui anamiliki kitu gani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ethiopia sio taifa la kutishiwa kijeshi na misriSasa badala ya kupinga hoja yangu wewe ndo unaiongeza nguvu zaidi. Hebu soma tena ulichoandika.
Hata wewe unaongea kishabiki mkuu! Egyptian Commandos unacompare na wanamgambo wa ethiopia!!!
Labda pengine kwa sababu ni maswahiba wakubwa wa uchina na uchina kawekeza Sana pale!Hata US kasanda kwa Kiduku, tusimdharau Ethiopia maana hatujui anamiliki kitu gani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Agiza vitu Amazon au E-Bay uletewe Kitu original kutoka kwa Trump hatutaki hayo makopy ya kichina ...Nimeamini janga hilo limetengenezwa na Marekani wenyewe. waafrika na duniani kote 2tapata tabu sanaa,,,ivi sasa wafanyabiashara wanalia,,wanatoa stock,zikiisha bac tumekwisha wajomba,,,wale watetezi wa mashoga endeleeni kuwatetetea marekani na mashoga wenzie, mnaoumia ni ninyi msiojitambua. Mlimuona mchina mbaya sana n still mnatumia bidhaa zake za bei chee hata shukurani hamuna enyi viumbe.
Na mtanyooka tu mpaka akili ziwakae sawa
Kwaiyo Al sisi yeye akikasirika njia ya kutuliza hasira zake ni vita ?
Sent using Jamii Forums mobile app
... I can see the logic kwanini Abiy mara baada ya kuingia madarakani akatafuta suluhu ya mgogoro uliodumu miongo kadhaa baina ya nchi yake na Eritrea hatua iliyopelekea kutunukiwa Nobel Prize fasta.Ethiopia na China wana urafiki wa mda mrefu sana
Lakini hiyo sio sababu kubwa
Tatizo ni Al Sisi kuitisha wakubwa wa majeshi ya Egypt na kufanya nao mkutano
Ingawa makamanda wamesema vita sio suluhu bali maelewano tu
...
... I can see the logic kwanini Abiy mara baada ya kuingia madarakani akatafuta suluhu ya mgogoro uliodumu miongo kadhaa baina ya nchi yake na Eritrea hatua iliyopelekea kutunukiwa Nobel Prize fasta.
That means intelijensia yao ilishaona mbali kwamba kutokana na ujenzi wa bwawa wanaloendelea nalo probability ni kubwa Egypt kujibu kijeshi so, ili kupunguza attacking angles, ilikuwa ni muhimu suluhu na Etritrea iwe ni jambo la dharura. Jamaa wana akili sana!
... when it comes to Nile, Egyptians wanajihisi ni mali yao wengine hawana haki ya kuutumia hadi wanakera! Sijui msimamo wa Sudan ukoje kwani nao pia ni tegemezi kwa Nile lakini hawana makeke kama Egyptians.Umeelewa vizuri sana Mkuu
Ingawa majemedari wa jeshi wamemgomea Al sisi kwa vita
Na usa hana tatizo na ujenzi huo
Je Misri sijui watalibomoa
Yaani hawa Egyptian wanafikiri wana hati miliki ya huo mto?
Yaani ni kama slave contract
Siombei vita nawala sitamani jamaa na watu wapigane maana najua watakao umia niraia wasiokua nahatia
Nanatamani mno kama ikitokea vita ambavyo siombei vitokee natamani ama ntatamani naomba ama ntaombea sana alsisi apasuke
Ila kila nikikaa nikitazama kufikiria nakuangalia wala siioni Ethiopia yakuisumbua MISRIMISRI Kwahapa Ama Kwasisi Waafrika Tutateseka sana Ikitokea Taifa Moja Likajifanya Kutaka Kupambana Nae
Mwisho:-Vita Vina Njia Zake Ijapokua Anaweza Akakaa Misri Ila Ni Probablity Tu
Sent using Jamii Forums mobile app
... when it comes to Nile, Egyptians wanajihisi ni mali yao wengine hawana haki ya kuutumia hadi wanakera! Sijui msimamo wa Sudan ukoje kwani nao pia ni tegemezi kwa Nile lakini hawana makeke kama Egyptians.
... nadhani kiasi Tanzania inachochota kutoka Nile/Victoria it's just a "drop" compared to what Ethiopia is going to do ndio maana ya kwetu waliamua kupotezea vinginevyo tungeshadondoshewa makomobora ya kutosha (I mean vita)! Mzigo anaokinga Ethiopia sio wa kitoto ndio maana akili zimewaruka wamisri hadi kusuluhishana Marekani badala ya AU!Mbona Misri aliwahi kufanyia Tanzania mikwara ya kumzuia asitumie maji ya Victoria, ila Tanzania ikawa na kiburi na kuyatumia mpaka leo yanafika Tabora, huyo Misri akabaki chali. Ni makelele tu, unamsemea kisa dini lakini hana lolote huyo.
Agiza vitu Amazon au E-Bay uletewe Kitu original kutoka kwa Trump hatutaki hayo makopy ya kichina ...
Tumeshawapiga kombola la kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawajua vizuri saana Egyptian commandos lakini vita sio rahisi kama unavyodhania alafu Ethiopia sio wepesi kihivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ethiopia hana historia ya kutisha katika vita kama Egypt,,,egypt alipigana na mataifa kibao ya ulaya yakimsaidia mkewe israel baada ya kuzidiwa na Egyptian soldiers.
Ethiopia ilianza ujenzi wa bwawa mwaka 2011 kipindi Egypt ina mgogoro wa kisiasa na wala hawakuishirikisha. Mikataba ya matumizi ya mto Nile inataka ukifanya mradi wowote kwenye mto utoe taarifa kwa member wanaonufaika nao, Ethiopia walikaa kimya. Sasahivi wamekamilisha 70% lakini tabu inakuja kuwa bwawa lao litatakiwa kubeba ujazo wa cubic metre bilioni 74 kwa ujumla. Wakati huo Misri inapokea ujazo wa cubic metre bilioni 55.5.
Sasa mnaona hata wakikinga maji yote ya mwaka hawajazi bwawa.
Majadiliano yalifanyika na Egypt akakubali kupokea kiwango cha chini kabisa cha cubic metre bilioni 40 ambacho kiliwahi kushuhudiwa mara moja tu kwenye ukame mkubwa. Bado Ethiopia hataki.
Ikapendekezwa basi Ethiopia atumie miaka angalau sita kujaza reservoirs za bwawa ili asiathiri maji yanayoenda Misri, bado hataki.
Ethiopia wanataka wajaze bwawa kwa muda mfupi kitu ambacho kitaathiri maji ya kilimo (Misri wanatumia irrigation tu na wanategemea Nile), itapunguza uzalishaji wa umeme kwenye mabwawa ya Misri.
Mikataba ya kikoloni ilisema Misri apewe kipaumbele maana hana maji mengine zaidi ya haya. Hawa wengine kina Tanzania, Uganda, etc wana vyanzo zaidi. Mikataba hiyo inaheshimika wala haipingwi. Wnatakiwa kuajadiliana sasa jana PM wa Ethiopia hakutokea kwenye mazungumzo baina yake, Trump na Al Sisi.
Romania, Serbia, Montenegro na Bulgaria zilipata uhuru baada ya Russia kupigana na Ottoman Empire kwenye vita tofauti. Crimea iliwahi kuwa chini ya Ottoman empire lakini Russia waliichukua.Historia ingekuwa inapigana Russia na Syria wangekuwa na hali ngumu dhidi ya uturuki
Najua kabisa uwezo wa misri ni mkubwa lkn sio wa kufanya Ethiopia aufyate kirahisi
Sent using Jamii Forums mobile app