Shinyanga: Wachimbaji wadogo wa madini waandamana wakimuunga mkono Rais Magufuli

Tukundane

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
10,580
2,000
Wachimbaji hawana haki zaidi ya muwekezaji mbele ya serekali ya CCM,watakapokuja kunyang'anywa maeneo Yao na kupewa wawekezaji Napo waje waandamane kuipinga serekali ya CCM kwa kutwaa maeneo ya wachimbaji wadogo na kuwapa wawekezaji,wasije wakakimya Kama walivyofanya kipindi serekali ya CCM ilipoidhinisha mikataba mibovu ya kuwaibia.
 

mgodi

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
2,735
2,000
Siku wakisomeshwa namba, wasiache pia kumuunga mkono kwa maandamano..
 

Jereman

Senior Member
Jun 29, 2016
133
250
Acha unaa dogo, umeleta post tatu kwa habari moja. Waombe mods watoe hizo zilizozidi. Au unadhani kulazimisha kupost ndio utaonekana mzalendo?
Mkuu mm naona haina shida sana ili mrad ujumbe umefika kwa walengwa kama wewe!. Hongera sana kwa kupitia hapa
 

The Stig

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,117
2,000
Hakuna ajira hovu kama ajira katika haya machimbo madogo. Ni unyonyaji na jinai tupu zinaendelea katika machimbo madogo. Pia hamna sayansi, ni mwendo wa imani za kishirikina zinazotawala. Wachimbaji wadogo ndiyo wanaongoza kwa kufadhili mauaji ya maalbino. Na hata hao wenye migodi mauzo yao hayako wazi = hata kodi hawalipi.

Wafanyakazi wengi sana wanakufa kama wadudu kwenye hayo machimbo madogo.
 

Tukundane

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
10,580
2,000
Bado unashikiwa Akili na chizi maarifa Lissu, si umwambie akaongelee mafyongo yake huko kwa wachimbaji uone atakavyopopolewa mawe!
waliwaruhusu wamachinga kufanyia biashara katikati ya jiji, kesho yake yakawatimua.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom