Shinyanga: Suruali yenye damu yatengua hukumu ya kifungo cha miaka 30

Jinai huwa haifi na uthibitisho tu ukipatikana vizuri utaenda nyea debe! Kuna viti vingine unaweza kunyamaza tu si lazima uweke wazi, unajisifu kweli kufanya jambo la namna hii katika jamii???

Nafikiri huna mtoto, utakapopata mtoto utakumbuka ulichokuwa unakifanya kwa binti huyo na probably mtoto wako watamwanza akiwa na miaka 4...

Kwa mwanangu mzee nikuhakikishie ubongo wako ungekuwa chakula cha funza muda sana...
Sawa wakili msomi umeeleweka
 
Mrufani kaupiga mwingi na mtoto wa mtu ameliwa, inaumiza sana hii kwa wazazi wa mtoto na mtoto mwenyewe kama tukio ni la kweli.
Kama mrufani alisingiziwa hongera yake kwa kuepuka miaka 30 jela sio mchezo.
Huyu jamaa mtaani atakuwa na hatari sana! Wanaukoo wanaweza kumgawana! Atakuwa na wakati mgumu sana!
 
Aisee..huyo mrufani inabidi apate watu wakumuweka sawa kisaikolojia kwani anaweza kuwa amekijaza kichwa chake visasi
Hamna ukitoka Jela akili ya kisasi unaitoa wapi? muda uliokaa huko ramani imepotea....lazima ujipange upya
 
Back
Top Bottom