Shinyanga: Ofisa wa NIDA mbaroni kwa kutoza wananchi Tsh 30,000 ili kuwapatia namba

Mushi ajiandae kujibu kwa nini amehujumu uchumi na kutakatisha elfu 30. Halafu huyu mchaga pori alivyomjinga alikua wanawasiliana ns hilo popoma jingine kwa sms kutumia simu yake.
 
Mushi unatumiaje teknolojia kwa mambo ya upigaji? Ngoja afunguliwe kesi ya utakatishaji wakati hata sabuni na maji hakua navyo
 
Mushi umeniangusha mie shangazi mkubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mamndenyi happy new year.
Hata wewe umeshangazwa na vitendo vya mtani wetu? Anapiga halafu annacha evidence TCRA na Tigo/Airtel. Mchaga wa wapi huyu anavamia fani bila kuuliza.
Sijui kama kuna aliyempelekea mtori au supu ya utumbo wa mbuzi leo. Maana ukifika pale polisi watajisemea, huyu ndio mwenye ndugu yake boya
 
Haya ya rushwa nida tumepiga kelele tangu 2010 hakuna linalofanyika, na hapa asingekamatwa na dc angepeta tu
 
Mushi unatumiaje teknolojia kwa mambo ya upigaji? Ngoja afunguliwe kesi ya utakatishaji wakati hata sabuni na maji hakua navyo
Huu Ni mgao mrefu usijeshangaa dc ndio akawajibishwa kwa kutibua ulaji, siumeona hili zoezi haramu lilivyokuwa linapuliziwa zumari
 
Haya ya rushwa nida tumepiga kelele tangu 2010 hakuna linalofanyika, na hapa asingekamatwa na dc angepeta tu
Wenzake kule kwa Jerry Muro walijiongeza wakaiba mashine wakawa wanasajili watu kwenye vichaka huyu anachukua 30 thou na ushahidi juu. Aisee acha akapumzike kwenye gesti ya bure.
 
Kumbe ni Mushi bhasi sina hoja tena.....

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom