Magari Aina Zote
JF-Expert Member
- Jul 31, 2012
- 3,076
- 523
Baraza la Taifa la uhifadhi na usimamizi wa mazingira nchini NEMC limekifunga kiwanda cha kuzalisha mafuta ya kula ya alizeti cha Jielong Holdings Tanzania Limited kilichopo mkoani Shinyanga.
Kiwanda hicho kimefungwa sababu ya kukaidi amri ya kufanya marekebisha miundombinu yake hatua ambayo imesababisha uharibifu mkubwa wa mazingira na uoto wa asili katika maeneo yanayozunguka kiwanda hicho.