Shinyanga: Mwanamke mbaroni kwa kumchoma visu mume wake kwa wivu wa mapenzi

Sipendi mwanamke mwenye tumbo kubwa,uwa napata kinyaa kabisa kusex nae mkuu.
ila wenye matumbo uwezi wakuta mahakamani wakidai talaka ni wavumilivu balaa katika ndoa. mimi sitaki presha bora nitafute tumbo tumbo akizingua unamzibua vipao vya kutosha jion ukirudi kashajisaulisha kuwa umempiga, chap kashapeleka maji bafuni🤣🤣.
 
Sasa huyo mwanamke aliechoma kisu atakua ndio sampo hizo...hana mbinu nyingine zaidi ya ku stay na jamaa.

Mimi mke wangu alijitunza sana, na sikutaka rangi yake nyeusi ipotee maana pia mademu weupe sijawai wapenda.
 
Amina hataki mchezo na dushe lake. Yuko tayari kuua ili dushe lake lisiguse K nyingine. 😂😂
 
Polisi mkoani Shinyanga wanamshikilia mwanamke aitwaye Amina Hamisi(32) mkazi wa mtaa wa Kitunda, Ibinzamata, kwa tuhuma kumchoma visu mume wake aitwaye Simon Robert(43) huku chanzo kikiwa ni wivi wa kimapenzi.

Kamanda wa Polisi Mkoani Shinyanga George Kyando amesema Amina amemchoma mme wake visu kichwani na tumboni, kwa uoande wake Mganga Mfawidhi wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, amesema mgonjwa huyo alipokelewa saa tisa alfajiri ya kuamkia jana akiwa anavuja damu na baada ya kupta matibabu alipata ahueni.
Hatari sana
 
Ndo maana huwa tunakatazwa usioe mtu au ukoo wenye hasira, tegemea hayo.
 
Back
Top Bottom