Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,472
Sio kijiti ni kijiti cha mhogo....hiyo nimeiskia Mwanza..unachukua mzizi au kijiti cha mhogo unakipachika kwenye via vya uzazi..naskia hutumii hata 30min unableed! Nili🙌!Uwiii mpaka nimesisimka jamani kujichokonoa na kijiti jamani hayo maumivu
Ukimuuliza mwanafunzi mwenyewe am sure atasema alijiingiza kijiti cha mhogo ndo maarufu sana huko kwao!
Hawaendi hosp wala nini! Kijiti tu cha mhogo!
Ni maarufu kama mjini ilivyo postonal 2