Uwiii mpaka nimesisimka jamani kujichokonoa na kijiti jamani hayo maumivu
Sio kijiti ni kijiti cha mhogo....hiyo nimeiskia Mwanza..unachukua mzizi au kijiti cha mhogo unakipachika kwenye via vya uzazi..naskia hutumii hata 30min unableed! Nili🙌!

Ukimuuliza mwanafunzi mwenyewe am sure atasema alijiingiza kijiti cha mhogo ndo maarufu sana huko kwao!

Hawaendi hosp wala nini! Kijiti tu cha mhogo!
Ni maarufu kama mjini ilivyo postonal 2
 
Mwanafunzi anayesoma kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Uzogole Manispaa ya Shinyanga (jina limehifadhiwa), amedaiwa kujitoa ujauzito kwa kijichokonoa na kijiti, ili aendelee na masomo...
Serikali iruhusu watoto wa kike kurejea masomoni hata kama wakipata ujauzito
 
Usalama wa via vya uzazi sijui upoje hapa, achilia mbali ujasiri wa kujitoa mimba mwenyewe katika umri huo.
 
Sio kijiti ni kijiti cha mhogo....hiyo nimeiskia Mwanza..unachukua mzizi au kijiti cha mhogo unakipachika kwenye via vya uzazi..naskia hutumii hata 30min unableed! Nili! Ukimuuliza mwanafunzi mwenyewe am sure atasema alijiingiza kijiti cha mhogo ndo maarufu sana huko kwao!
Hawaendi hosp wala nini! Kijiti tu cha mhogo!
Ni maarufu kama mjini ilivyo postonal 2
Hili naona jibu Kama linaeleweka hivi! Ila siyo kijiti tuu mradi kijiti.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Sio kijiti ni kijiti cha mhogo....hiyo nimeiskia Mwanza..unachukua mzizi au kijiti cha mhogo unakipachika kwenye via vya uzazi..naskia hutumii hata 30min unableed! Nili! Ukimuuliza mwanafunzi mwenyewe am sure atasema alijiingiza kijiti cha mhogo ndo maarufu sana huko kwao!
Hawaendi hosp wala nini! Kijiti tu cha mhogo!
Ni maarufu kama mjini ilivyo postonal 2
Aiseee kumbe!! Kweli tembea uone duhh

Sasa mwanafunzi wa form1 anajua yote hayo jamani jamani
 
Haya ndiyo madhara ya ile sheria kandamiza ya marehemu Kayafa ya kukataza watoto wa kike wasirudi shule wakishika mimba.Mwili wangu umekufa ganzi kabisa kwa manyanyaso haya ambayo wanafanyiwa watoto wa kike.Kama siyo hiyo sheria kandamizi haya mambo ya kujichokonoa kwa kijiti yasingetokea.
We jamaa bana, dalili za sonona hizi, kila jambo kwako wewe chanzo ni JPM.

Sheria ya kukataza Pregnant girls wasirudi shule ina maana magufuli ndio kaianzisha? Ushasoma tafiti juu ya madhara ya kuwarudisha shule mabinti?

Kwa manufaa yako tu, tafiti zinahitimisha kuwa kuruhusu wajawazito warudi shule zitaongeza mimba mashuleni kwa zaidi ya 85%. Ni muhimu kama jamii tuweke nguvu kuzuia mabinti wasipate mimba, na wapate elimu bora mbadala itayowawezesha kupata kazi na kuhudumia watoto wao(tafiti zinaonyesha mabinti wanahitaji zaidi elimu hii kuliko kurudi shule)..
 
Haya ndiyo madhara ya ile sheria kandamiza ya marehemu Kayafa ya kukataza watoto wa kike wasirudi shule wakishika mimba.Mwili wangu umekufa ganzi kabisa kwa manyanyaso haya ambayo wanafanyiwa watoto wa kike.Kama siyo hiyo sheria kandamizi haya mambo ya kujichokonoa kwa kijiti yasingetokea.
Kwa hilo nakupinga huyo atasoma na mwanao ili washauriane vzr sio mtoto wangu kila kitu mnataka kulaumu na kupinga mzee sio kila kitu alikua anakosea
 
Back
Top Bottom