Shinyanga: Mume mbaroni kwa akituhumiwa kumuua aliyemfumania na mke wake

Anaenda jela mkewe anaendelea kutafunwa na wahuni wengine

R.I.p aliekufa
Kisheria anapiga miaka michache...ni fumanizi.
Kidogo unarun temporary insanity.Sema kaenda kuvunja kabisaa kajiwekea mazingira magumu.
 
Na hiyo ndo adhabu alostahili marehemu, kwani wanawake wameisha aoe wake!!?
Na muuaji anaenda kuozea jela wakati jamaa wahuni wengine wanaendelea kumtafuna Mkewe,Kuua kwa Kukusudia, Mshtakiwa anashtakiwa na Jamhuri!
Miaka 30 jela au Maisha!
Hasira Hasara!
Badala ya kukabana na Mkeo MTU mzima mwenye akili timamu unakabana na lijamaa jingine,na wapo wengi tuu sijui atawamaliza hahaha
 
Muuaji anahukumiwa kwa Kuua kwa kukusudia Miaka 30 Au Maisha.Dhidi ya Jamhuri!
Mpaka atoke jela wahuni wanaendelea kumtafuna Mkewe,Si jamaa atakuwa Jela,Familia haina hela.wahuni wanaendelea kumtafunia Vizuri tena!wajue Kuna Utamu gani!
Eti kosa lake ni wivu wa kimapenzi sio kuua, kosa ni la marehem kutembea na mke wa mtu
 
Safi kabisa, mke anauma Sana....kila mtu aoe mke wake nikikufuma na mke wangu nakuuwa....

Uta uwa wangapi, Mwanamke akianza kukusaliti hataacha hiyo haijalishi umempa vitisho vya aina gani. Ataboresha mbinu za kukusaliti tu ili usiweze kumdaka, Hili binafsi nimeshuhudia sana.
 
Ni mawazo ya mtu mpumbavu pekee kuisambaratisha ndoa yake kwa ufedhuli wake.
Na pia kujinasibu kwamba atafaidi umalaya mumewe akiwa jela inadhihirisha huyo si mwanamke wa kuoa ila ni mchuuzi wa ngono na kuna uwezekamo hao hao atakaowafaidi kwa ushabiki wako wa kijinga watammaliza.
Binafsi naamini kusherehekea tabia za aina hiyo ni dalili za upumbavu na ni ujinga ipo siku atauwawa na haohao wanaume wake.


Sent using Jamii Forums mobile app
Ila upumbavu zaidi ni kufungwa jela kwa sababu ya wivu wa kimapenzi,hapo ndipo upunguani wa mtu hudhihirika wazi. Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza ku react kama taahirika kisa kafumania, ni mazumbukuku na washamba wa mahusiano ndiyo hu'react kijinga na kujikuta wameishia jela.
 
Ikidhibitiba aliua bila kudhamiria,atakua nje,hatafungwa, adrenaline ilimwagika mwilini kwa kiwango kikubwa,kumkuta mtu kalala na mkeo,reaction yake haitabitiki,hakimu ataangalia hilo.
 
Kesi imeisha..mwisho wa siku utasikia “mtuhumiwa alitenda kosa akiwa bila kikusudia au hakuwa katika hali ya kawaida kipindi akitenda kosa”
Kesho kutwa tu atarudi mtaani..ila njema ime r.i.p
Atakua kawekwa ndani kwaajili yakulinda usalama wake,na siyo kwamba atafungwa,kesi za hivyo sijawahi kusikia au kushuhudia kufungwa kwa aliyeua.Kama ni mfanyakazi wa umma,atahamishwa kikazi,mke wa mtu siyo mzuri wadau.
 
Ila upumbavu zaidi ni kufungwa jela kwa sababu ya wivu wa kimapenzi,hapo ndipo upunguani wa mtu hudhihirika wazi. Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza ku react kama taahirika kisa kafumania, ni mazumbukuku na washamba wa mahusiano ndiyo hu'react kijinga na kujikuta wameishia jela.
Nadhani una nyota ya ukahaba ni bora usiolewe
 
Mimi si mwanamke kwani hilo gubu la uke wenza ulilo nalo mlenge mke mwenzio, naona mumeo hajatulia ndiyo maana unapanic kifalafala.
Basi wewe utakuwa unatabia ya kutembea na wake za watu ndio maana linakuuma kwa hatua kali mwanachama mwenzako kushughulikiwa. Oa, acha ujinga wakudandia wake za watu.
 
Basi wewe utakuwa unatabia ya kutembea na wake za watu ndio maana linakuuma kwa hatua kali mwanachama mwenzako kushughulikiwa. Oa, acha ujinga wakudandia wake za watu.
Kwa taarifa yako nina mke na watoto ambao labda ni umri wako, baada ya kuyasema hayo bado sikubaliani na upumbavu wa kuua mtu ambaye mke wangu atakuwa amemvulia kwa hiyari yake.
 
Back
Top Bottom