Shinyanga: Mume aua mke wake kwa Panga akimtuhumu kusaliti Ndoa yao

Insigne

JF-Expert Member
Jul 3, 2021
2,614
2,000
Kitendo cha kuingia kwenye ndoa, ina maana unakaribia kupata kifungo cha maisha gerezani

Mimi sipendi kujiingiza kwenye vitu vya hatari kama hivyo
, Kama utamu na utelezi umejaa mtaani
 
Deceiver

JF-Expert Member
Apr 19, 2018
7,393
2,000
Kitendo cha kuingia kwenye ndoa, ina maana unakaribia kupata kifungo cha maisha gerezani

Mimi sipendi kujiingiza kwenye vitu vya hatari kama hivyo
, Kama utamu na utelezi umejaa mtaani
Hujapata mnyamwezi aliyefundwa.
Siku ukimpata utajilaumu mbona ulichelewa kuoa.
 
Insigne

JF-Expert Member
Jul 3, 2021
2,614
2,000
Hujapata mnyamwezi aliyefundwa.
Siku ukimpata utajilaumu mbona ulichelewa kuoa.
Mimi mwenyewe mnyamwezi vilevile na huyo anaekufanyia mambo yote hayo, siku akichepuka na ukijua ni rahisi kumkata na mapanga
 
dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
15,739
2,000
Wapakistan pia japo co saana kama wahindi, haya mabudha/mabaniani ndiyo yameshika nchi, ni makatiri na yanaroho mbaya sana mkuu. Waisilamu wananyanyaswa sana huko india, refer yanayoenderea utatokwa machozi.
... wapakistani wana kitu wanaita "kulinda heshima" ya familia; visichana vinakatwa shingo kila siku huko hayo ya Shinyanga cha mtoto!
 
Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
17,763
2,000
Kesi ni process mkuu lazima watafutwe mashahidi zaidi ya mmoja aliyeshuhudia tukioa sio kuambiwa, Polisi walienda baada ya mtuhumiwa kujipeleka so lazima wajiridhishe watachoiambia mahakama, na ushahidi wao usiache shaka.
Hai apply kama mtuhumiwa mwenyewe ame confess. Kama angekuwa anayakana mashtaka basi ndio inahitaji ushahidi ili kumpata na makosa. Kama ame confess mwenyewe ushahidi wa nini sasa?
 
EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
15,103
2,000
Hai apply kama mtuhumiwa mwenyewe ame confess. Kama angekuwa anayakana mashtaka basi ndio inahitaji ushahidi ili kumpata na makosa. Kama ame confess mwenyewe ushahidi wa nini sasa?
Bado itahitajika uchunguzi/ upelelezi sio rahisi kama unavyodhani yaani hata kama angeua mbele ya mwendesha mashtaka na jaji bado uchunguzi lazima ufanyike, wanasheria watatusaidia kuelewa
 
dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
15,739
2,000
Bado itahitajika uchunguzi/ upelelezi sio rahisi kama unavyodhani yaani hata kama angeua mbele ya mwendesha mashtaka na jaji bado uchunguzi lazima ufanyike, wanasheria watatusaidia kuelewa
... uko sahihi. Mojawapo ya document muhimu kwenye kesi za jinai mahakamani ni Hati ya Mashtaka yaani Charge Sheet ambayo ina maelezo yote muhimu kuhusiana na kesi husika ikiwemo taarifa za vyombo mbalimbali vinavyohusika. Kwa mfano, ni lazima daktari wa magonjwa ya akili athibitishe kama mhusika yuko sawasawa kichwani, n.k.

Charge Sheet haiwezi kuwa na just maelezo eti MTUHUMIWA ALIKIRI! Pamoja na kukiri mwenyewe kwa mfano na daktari pia kuthibtisha ni mzima kichwani; je, hapakuwa na force nyingine behind? Kwa mfano, hapakuwa na wahusika wengine walioshirikiana na mhusika kupanga mauwaji hayo? Hawa nao ni lazima wapatikane na kufikishwa mahakamani. Utawapataje bila uchunguzi? Chaliifrancisco
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom