Shinyanga kuwa na Chuo Cha Madini kuanzia Mei 2009

Mgoyangi

Senior Member
Feb 6, 2008
184
9
Kuna chuo cha madini ambacho kitakuwa kikitoa mafunzo katika ngazi ya Astashahada na stashahada na baadaye kupanda kadiri siku zinavyokwenda.

Chuo hiki kitakuwa katika mkoa wa Shinyanga - manispaa ya Shinyanga - na kinaanzishwa na taasisi inayojulikana kama Earth Science Institute Of Shinyanga ESIS na mhula wake wa masomo wa kwanza unaanza mwaka huu.

NI ukombozi kwa wakazi wa mkoa wa Shinyanga na kanda ya ziwa ambao licha ya utajiri wa madini walio nao - wamekuwa wakiendesha shughuli zao kienyeji na hata kutofaidika na rasilimali zao.

Kisomo katika fani hii kitawakomboa.

Unaweza kugonga hapa kwa habari zaidi:
Earth Science Institute of Shinyanga (ESIS)
 
Asante mkuu kwa kutufahamisha.
 
Sema tu haujatuambia chuo kitamilikiwa na nani na kitafadhiliwa na nani??

Je chue cha Elimu ya Juu kama vingine?

Hivi Shy kuna Chuo kikuu hata kimoja kweli hadi sasa?
 
Mkuu kigeugeu shinyanga kuna chuo labda ishu kama ni cha elimu ya juu au?KORANDOTO ni chuo nafijiri na shycom pia kimekua chuo
 
Kuna chuo cha madini ambacho kitakuwa kikitoa mafunzo katika ngazi ya Astashahada na stashahada na baadaye kupanda kadiri siku zinavyokwenda.

Chuo hiki kitakuwa katika mkoa wa Shinyanga - manispaa ya Shinyanga - na kinaanzishwa na taasisi inayojulikana kama Earth Science Institute Of Shinyanga ESIS na mhula wake wa masomo wa kwanza unaanza mwaka huu.

NI ukombozi kwa wakazi wa mkoa wa Shinyanga na kanda ya ziwa ambao licha ya utajiri wa madini walio nao - wamekuwa wakiendesha shughuli zao kienyeji na hata kutofaidika na rasilimali zao.

Kisomo katika fani hii kitawakomboa.

Unaweza kugonga hapa kwa habari zaidi:
Earth Science Institute of Shinyanga (ESIS)
Natumaini mpaka wanamaliza masomo... Kutakuwa kumebaki mahandaki Hakuna madini hata kidogo...
 
Back
Top Bottom