Shinyanga hatuna umeme siku ya sita leo, Meneja TANESCO upo wapi?

chollemadulu

JF-Expert Member
Dec 8, 2013
257
78
Sisi wananchi kishapu kata ya maganzo hatuna umeme leo siku sita tunalala giza meneja upo kimya kama meshindwa kutuwashia umeme kwa wakati toa taarifa sasaivi haieleweki lini mtawashia sijui mtafidia gharama zetu tunazo tumia kukunua mafuta sasa nashauli wizara husika ilione hili tatizo kubwa kwao asanteni
 
TANESCO
 
Mbunge wa Kishapu ni CCM,
Endeleenii kubaki bila umeme hata kwa Karne hii yote ikiisha
 
Back
Top Bottom