Shinyanga: DC alowaweka Korokoroni masaa 48 Watetezi wa Haki za binadamu, akaliwa kooni

Hivi hawa ma DC wa sasa wanatumia sheria gani ambazo hazikuwepo awamu zilizopita? Huu ushamba ulioanzia juu unakuja kwa kasi sana chini. Hili jambo likomeshwe kwa nguvu zote.
Sii waende Kibiti wakatumie hiyo sheria nasi tutawaona wanajua kazi kweli?
Waliagizwa siku ya kuapishwa na mkulu
 
Nazi kubwa kwa sasa inayofanywa na wakuu wa mikoa /wilaya ni masaa 48 tu,hakuna lingine
 
Nazi kubwa kwa sasa inayofanywa na wakuu wa mikoa /wilaya ni masaa 48 tu,hakuna lingine
Kuna wanakijiji wamesema walikuwa wanapewa shilingi 5000@ na watetezi wa haki hizo. Maswali ya kujiuliza
1.Kwa nini utetezi huu uje sasa?
2.Watetezi wanaogawa hela kwa kila aliyejibu Dodoso (questionnaire)
3.Kwa nini wanafanya utetezi katika migodi pekee inayochunguzwa au iliyokutwa na matatizo yaliyosababisha mabadiliko ya sheria?
4.Wanajtenga vipi na harufu ya kutumika na aidha Chama cha siasa au Makampuni husika?
Swala la msingi pia kuzingatiwa ni RUKSA au kutoa TAARIFA katika serikali juu ya kufanya semina hizo.
 
Anna Mushi anatafuta nini vijijini Shinyanga? Mikutano :ya ndani" insyowapa semina watendaji ea serkali za mitaa pembezoni na migodi; ni kwa ruhusa ya nani, ns hiyo kozi analipia nani? Hawa wanajiita "watetezi wa haki za binadamu". Haki zipi hizo? Kazi ya kutoa haki ni mahakama na kazi ya kutunza hski zs za raia ni zs polisi. Hizi NGO ni za nani na ni nani anazifadhili kwa malengo yapi? Kuhamasisha watumishi wa serkali ni jukumu la idara ya ustawi wa jamii. Walishirikishwa?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Halafu mleta thread usitudanganye. Kesi haijaamuliwa bado na imepangwa tarehe 10/8/2017

Sasa unasema DC akaliwa kooni kivipi?

Hao wenye kiji-organisation chao wanalaani tu kitendo hicho hamna lolote...

Eti watetezi haki ..haki bila utaratibu, haki bila wajibu?! Jinga...

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Hivi hawa ma DC wa sasa wanatumia sheria gani ambazo hazikuwepo awamu zilizopita? Huu ushamba ulioanzia juu unakuja kwa kasi sana chini. Hili jambo likomeshwe kwa nguvu zote.
Sii waende Kibiti wakatumie hiyo sheria nasi tutawaona wanajua kazi kweli?
yule dc KAMOGA AKA mtangazaji wa 360 CLOUDS tv sijamsikia na yeye kujitutumua kusweka ndani wananchi wake au zam yake bado?
afu sijawahi kumsikia tangu amemegewa tonge na SIZONJE. nahisi kama hajaridhika na kibarua alikopangiwa
 
Hawa wangeambiwa "mtu akiwabishia jambo mfanyeni hata kinyume na maumbile" wangekuwa wamesha wachakaa wengi kwa vile tuu mteuzi kasema. Bure kabisa hawa. Hawa ni wa ku note majina yao ili wakati ukifika kufufua kesi za jinai za maonezi ili nao kuwaweza sio rumande bali mahabusu kabisa tena zile za magwiji wa uhalifu ili wajue kuwa walifanya ya hovyo.
Kuchukua majina muhimu naunga mkono hoja
 
Hii nchi tunakoelekea pabaya sana
Nendeni mashambani mkafuge au kulima. Kutumika na mabwanyenye hakuna nafasi tena msimu huu.mtawalaumu bure ma DC. Siku zote walikuwa wapi kutetea haki za wananchi hao. Ni lini wananchi hao waliwafuata kuwaomba msaada wa utetezi.
 
Acha kuongea kama unajisaidia kwenye kiza....
 
Back
Top Bottom