Shingo yangu muda wote yani imekuwa nzito na mda mwingine kama mwishoni mwa koromeo imebeba kitu

Decision

Member
May 6, 2020
36
36
Nahisi kama mtu kaikamata shingo yangu muda wote yani imekuwa nzito na mda mwingine kama mwishoni mwa koromeo imebeba kitu na kuchoma choma muda mwingine nikiidomasa inauma kifua pia kama kimepakwa pilipili na mgongo pia unawaka moto na kuuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo inaweza kuwa strep throat (ni maambukizi ya bacteria yanayo shambulia sehemu za tonsil za kooni). Nenda hospitali kuthibitisha au kunywa antibiotics kama pen V. isijekufika kwenye ubongo ukapata meningitis.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom