hongera kwa mnayoyafanya kuikomboa jamii kongole sana tupo pamoja
Asante sana! Ninaomba kura yako ndugu yanguhongera kwa mnayoyafanya kuikomboa jamii kongole sana tupo pamoja
Hizo Nondo hawaandiki hapa.SIRI YA MAFANIKIO KATIKA MAISHA.
mafanikio.ni riziki ama malengo unayoyafikia baada ya kufanya jambo lolote katika utafutaji maishani mwako na hayo mafanikio yanaweza kugusa nyanja zote za maisha kama vile kiuchumi,kijamii,kiutamadani n.k
HOJA ZA KUKUSAIDIA UFANIKIWE MAISHANI NI HIZI HAPA:
1.Elimu
2.ajira
3.mtaji
4.fursa
5.nguvu kazi
6.ujuzi na ubuunifu
7.kutokata tamaa
8.nidhamu katika kazi
1.ELIMU
Ukihitaji kufanikiwa na kuendana na sayansi na technolojia ya sasa unahitaji kupata elimu ili uweze kuendana na kasi ya utafutaji pia elimu itasaidia kujifunza namna mbali mbali za utafutaji na fursa kadha wa kadha na hiyo pia upande wa serikali inatakiwa kuanzisha elimu maalumu ambazo zitatolewa kwa kulenga kazi ama fursa husika kwa maana kuanzisha mitaala ambayo itakuwa rafiki na yenye manufaa kwa watakao somea ,hivyo elimu ni jambo la msingi na muhimu sana unapohitaji kubadirika.
2.AJIRA.
hili pia na jambo la muhimu sana ili jamii iweze kubadilika kimaendeleo na kupiga hatua kimaisha hapa tunalenga serikali mojakwamoja inatakiwa itengeneze ajira ama kazi tofauti tofauti ambapo wale walio pata elimu za kada mbalimbali waweze kupata ajira kutoka serikalini pia serikali inajukumu la kuweka mazingira wezeshi kwa sekta binafsi ili kuongeza wigo mpana wa kuwepo kwa ajira nyingi zaidi ,na kwa wale ambao hawaja soma pia wanahitaji kujiajiri kwa sababu wanauwezo kuendesha shughuli mbalimbali mfano ujasiriamali hivyo ajira ndio kila kitu bila hivyo mtu aujamii haiwezi kubadilika hivyo ni jambo la msingi sana
Habari wanajamvi.Mpeni malila tu
He is a hero
Sijui hata Yuko wapi these days
Hope mgao ulikwenda sawa sawiaHizi 5M tusiziachie, unaonaje tukapeana ideas halafu mimi nikaziweka kwa maandishi, mtonyo tutagawana tu wala usiwe na shaka