Shindano lakumtafutatu anayefanana na maraisi kutuma picha zako kwa whatsup

Supervision

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
265
203
Mwaka 2012 niliwahi kusikia kulikuwa na shindano la namna hii liliishia wapi ?
Nakumbuka wakati nipo shule kuna jamaa mmoja alifanana sana na mkapa na mwingine alifanana sana na sumaye nikionana nao huwa nacheka sana.

Yale mashindano yaliishia wapi ? Kama kuna mtu anaweza kuanzisha aanzishe watu tuwaone walioumbwa wawiliwawili watume picha zao tuwaone kwenye magazeti au whatsup tuwapigie kura
 
Back
Top Bottom