Shindano la unywaji pombe kufanyika Moshi Mkoani Kilimanjaro October,2019

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
' October Festival 2019 ' ni tamasha la kushindana kunywa beer litafanyika Moshi Mkoani Kilimanjaro mwezi huu wa October , 2019. Na washindi watatu watapewa donge nono.

Beers zitakazonywewa ni safari , serengeti /lite, castle lager $ castle lite na castle milk , ndovu.

Hata kvant , konyagi na smilnof zitakuwepo. Ni wewe tu msuli wako.

Watapimwa kwa kigezo cha kunywa idadi nyingi ya beer , na chupa empty zitakuwa zinarundikwa.
 
Hakika Shindano limepata washiriki,Nawakubali sana mkoa wa Kilimanjaro katika upande wa Masanga,Hongereni sana.
 
Inakuaje mashindano kama haya yanaruhusiwa?
Pombe haifai kunywewa kwa mashindano, ni hatari sana kwa mnywaji hasa kama anakunywa haraka haraka
 
Kuna clip niliiona miezi kadhaa iliyopita jamaa kutoka arusha aliikata konyagi chupa kubwa bila kushusha chupa kwa dau la 80,000 tu. Style aliyokunywa jamaa ukipewa kandoro huwezi, ni style flani hivi ya kipekee isiyoigika
 
Mashindano ya aina hiyo kwa mwerevu hawezi kuyashiriki.

Hayo ni mashindano ya kifo, maana pombe ina kiwango cha sumu ndani yake.

Mtu anapoifakamia kwa pupa kukimbilia ushindi inaweza ikamuua.

Ni nani aliyeandaa mashindano hayo ya kizamani na kinyama?

Vyakula na vinywaji havishindanishwi watu kuvitumia ni kufuru.

Mashindano hayo ni sawa na yale yalikuwa yakifanywa Dar na tajiri fulani usiku( aliyetajwa na kamishina generali wa kuzuia dawa za kulevya).

Wanaume mnavua nguo, uchi wa mnyama, mna lineup, kipyenga kinapulizwa mnatimua mbio kutafutwa mshindi.

Sasa jenga picha wanaume kukimbia uchi huku jamaa likiburudika kwa kinywaji huku video ikirekodiwa!

Mshindi anatoka na donge nono, lakini aina ya mashindno sasa!

Mambo mengine huwa si mashindano bali ni udhalilishaji kwa jina la mashindano.
 
Ya kula chapati Sawa.. Kuna Kijana anazurura mitaa ya dar kazi yake nikuonyesha umma Jinsi anavyoweza kula chapati 30 hadi 50
 
mjomba angu (marehemu) angekuwapo angeshinda bila tatizo anafuta kreti ya castle lite peke ake alafu yupo ok kabisa,alifariki muda na ni pombe zilimuua alikunywa konyagi kupindukia
 
Back
Top Bottom