Shindano la unywaji pombe kufanyika Moshi Mkoani Kilimanjaro October,2019

Hivi punde

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Messages
2,109
Points
2,000
Hivi punde

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2017
2,109 2,000
' October Festival 2019 ' ni tamasha la kushindana kunywa beer litafanyika Moshi Mkoani Kilimanjaro mwezi huu wa October , 2019. Na washindi watatu watapewa donge nono.

Beers zitakazonywewa ni safari , serengeti /lite, castle lager $ castle lite na castle milk , ndovu.

Hata kvant , konyagi na smilnof zitakuwepo. Ni wewe tu msuli wako.

Watapimwa kwa kigezo cha kunywa idadi nyingi ya beer , na chupa empty zitakuwa zinarundikwa.
 
M

mangatara

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Messages
13,193
Points
2,000
M

mangatara

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2012
13,193 2,000
Ila na sanda iwe karibu kabisa kwani haijawahi tokea mashindano hayo yakamalizika bila maiti moja kama so 2 au 3. Sitishii ila wahi front seat ujionee mwenyewe
 
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
17,409
Points
2,000
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
17,409 2,000
Kale katalewa mpk wakabake.

Ujue mtu mfupi uwezo wake wa kuhimili kiwango kikubwa cha pombe ni mdogo sana.
Bila shaka Pierre liquid mlevi wa taifa atatuwakilisha
 
ISO M.CodD

ISO M.CodD

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Messages
4,267
Points
2,000
ISO M.CodD

ISO M.CodD

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2013
4,267 2,000
Nyama na maji ya kunywa ruksa?
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
35,444
Points
2,000
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
35,444 2,000
Hii kitu ingefanyika december...

Cc: mahondaw
 
tang'ana

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Messages
7,882
Points
2,000
tang'ana

tang'ana

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2015
7,882 2,000
so Pierre anashiriki?
 
jozzeva

jozzeva

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2012
Messages
2,126
Points
2,000
jozzeva

jozzeva

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2012
2,126 2,000
Hakika Shindano limepata washiriki,Nawakubali sana mkoa wa Kilimanjaro katika upande wa Masanga,Hongereni sana.
 
byeyombo

byeyombo

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2015
Messages
1,152
Points
2,000
byeyombo

byeyombo

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2015
1,152 2,000
Kipenzi cha wengi Balimi international mbona imetengwa au bei ?
 
chinchilla coat

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Messages
4,474
Points
2,000
chinchilla coat

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined May 16, 2016
4,474 2,000
Inakuaje mashindano kama haya yanaruhusiwa?
Pombe haifai kunywewa kwa mashindano, ni hatari sana kwa mnywaji hasa kama anakunywa haraka haraka
 
Scars

Scars

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Messages
6,048
Points
2,000
Scars

Scars

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2017
6,048 2,000
Kuna clip niliiona miezi kadhaa iliyopita jamaa kutoka arusha aliikata konyagi chupa kubwa bila kushusha chupa kwa dau la 80,000 tu. Style aliyokunywa jamaa ukipewa kandoro huwezi, ni style flani hivi ya kipekee isiyoigika
 
Sakasaka Mao

Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2016
Messages
4,601
Points
2,000
Sakasaka Mao

Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2016
4,601 2,000
Mashindano ya aina hiyo kwa mwerevu hawezi kuyashiriki.

Hayo ni mashindano ya kifo, maana pombe ina kiwango cha sumu ndani yake.

Mtu anapoifakamia kwa pupa kukimbilia ushindi inaweza ikamuua.

Ni nani aliyeandaa mashindano hayo ya kizamani na kinyama?

Vyakula na vinywaji havishindanishwi watu kuvitumia ni kufuru.

Mashindano hayo ni sawa na yale yalikuwa yakifanywa Dar na tajiri fulani usiku( aliyetajwa na kamishina generali wa kuzuia dawa za kulevya).

Wanaume mnavua nguo, uchi wa mnyama, mna lineup, kipyenga kinapulizwa mnatimua mbio kutafutwa mshindi.

Sasa jenga picha wanaume kukimbia uchi huku jamaa likiburudika kwa kinywaji huku video ikirekodiwa!

Mshindi anatoka na donge nono, lakini aina ya mashindno sasa!

Mambo mengine huwa si mashindano bali ni udhalilishaji kwa jina la mashindano.
 
Forum statistics

Threads 1,343,137
Members 514,956
Posts 32,774,899
Top