Shindano la kuimba&kucheza la TBC 1 linaloitwa Club Raha Leo, nani analidhamini? Mshindi milioni 50.

sexologist

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
2,283
976
Ni shindano bovu kuliko yote duniani, kati ya yale ya kutafuta wenye vipaji vya muziki.. Sijui washiriki wamewatoa wapi.. Mbaya zaidi zawadi ni kubwa mno, shilingi milioni 50!!!
Isijekuwa ni hela ya kodi zetu, maana hakuna matangazo ya wadhamini toka limeanza!

Majaji ni:
Masoud Masoud
Miriam Migomba
na wengine wawili..

Kinachoboa zaidi, kipindi kinarudiwa leo j3 asubuhi, badala ya kutangaza mambo ya msingi ya kitaifa muda huu!

Too local hii channel!!
 
Back
Top Bottom