Shindano la CECAFA kwa Zanzibar lageuka kuwa harakati ya kisiasa, sio soka peke yake

Baadhi ya maneno wanayotuambia ni haya:-'Zanzibar tumewafunga Tanganyika,tukawafunga na shemeji zeo kwa Zari',Lakini kuna maneno mengine ni matusi kabisa. Hapa ni zaidi ya mpira hata ukisoma Twit ya Mh.Jakaya Kikwete na majibu aliyopewa na Jusa,utagundua kwamba hapo ni zaidi ya mpira. Wazanzibar wanataka nchi yao kwa nini tunalazimisha muungano? Ni kitu gani sisi Watanganyika tunakipata ktk muungano huo? Ni kitu gani kimejificha nyuma ya muungano ambacho Watanganyika hatukijui?
 
ala Kumbe Zanzibar ina wimbo wao wa taifa na Bendera!! Kumbe ni nchi huru aisee!! nimeshuhudia kwenye ile fainali ya jana.
 
Sifa moja kubwa ya mwanadamu ni kupenda kumtawala mwenziwe.
Mke kwa mume, mume kwa mke, mzee kwa watoto, kiongozi kwa anaowaongoza, na hata serekali kwa serekali.
 
  • Thanks
Reactions: mop
ala Kumbe Zanzibar ina wimbo wao wa taifa na Bendera!! Kumbe ni nchi huru aisee!! nimeshuhudia kwenye ile fainali ya jana.
One China to governments (China mainland+Hong kong)1997

One China (China +Taiwan)

Marekani jinsi alipata shida na Cuba 1980's
nk.

Nadhani faida kubwa ni usalama wala sio hiliki au tende toka zenji
 
Sasa ni wakati wa ku open-up na kusema ukweli pasi na kupepesa, nimeshangaa sana walivyoichukulia michezo hii hasa comment za Jussa baada ya JK ku tweet kuipongeza the Team ya Zanzibar
 
One China to governments (China mainland+Hong kong)1997

One China (China +Taiwan)

Marekani jinsi alipata shida na Cuba 1980's
nk.

Nadhani faida kubwa ni usalama wala sio hiliki au tende toka zenji
usalama bila haki is rubbish.....
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom