Shindano kijijini kwetu

mamanalia

JF-Expert Member
Nov 7, 2009
666
146
Hapa kijijini kwetu kulikuwa na dada mmoja kiruka njia sana. Ilifikia wakati watu wote walimjua na hata wanaume wengi kuwa wameishaenda naye. Siku moja mfalme alimwita na kumuuliza hivi kati ya hao wote ulioenda nao kuna ambaye hajakukuna vizuri ukaamua kuishi naye? Akasema bado hajamuona hata mmoja, wote ni vilaza hawajui kufanya vizuri hata huwa hawezi kutoa milio ya kufurahi katika tendo la ndoa.

Basi ikashauriwa kufanyike shindano la wazi watu wasikie, yule mwanaume ambaye atamfanya hadi alie atapewa zawadi na atapata kumuoa binti huyo ambaye kiukweli alikuwa mzuri sana kila idara.

Basi kukajengwa chumba cha nyasi kaika uwanja na wanaume wakajiandikisha na kuanza kwenda mmoja baada ya mwingine katika siku tofauti.

Vijana wote walichemka hakuna aliyemfanya huyo binti kulia wala kulalamika.

Siku hiyo akatokea mzee kikongwe mmoja akaomba naye ajaribu kumfanya huyo binti hadi alie. Watu walicheka na kumbeza huyo mzee sana na siku hiyo kijiji kizima kilikuja ili kushuhudia huyo mzee kama ataweza kumfanya huyo dada angalau atoe sauti humo ndani.

Basi mzee akafika na binti ndani akavua ili waanze shughuli. Mara yule binti akalia kwa kulalamika akisema "Mfalmeeeee anaingiza kichwaa" (akimaanisha kichwa cha binadamu)
Mzee akajibu kwa sauti "mfalme hiyo ni kichwa tuu bado yenyeweee"
Basi mzee akashinda kwa kuwa binti alitoa sauti na akajichukulia kimwana na zawadi.
 
Back
Top Bottom