shindalo la kumsaka bingwa wa kusahau

saliel

Member
Apr 11, 2011
84
18
je ni yupi kati ya hawa ni bingwa wa kusahau
1. jamaa alikua amelala akaamka walipokua amekaa akanza kufikiria juu ya kuwa ni jambo gani alilokua akifanya kwa wakati ule akawa anajiuliza,"hivi nilikua ninalala au naamka".
2.jamma wapili alikuwa anapanda ngazi alipofika katikati akasahau kuwa alikua anapanda au anashuka ngazi.
waungwana naomba mnisaidie kuwa ni yupi kati ya hawa wawili ni bingwa wa kusahau
nawasilisha
 
haha haa hii nimecheka mpaka machoz, huyu wa ngaz ndo kilaza kabsaaa
 
Hapana,huyo wa pili kazidi,unapopanda ngazi si unaangalia ume-face direction gani,ya kupanda ngazi au kushuka ngazi?
 
Nimesahau mimi ni mshabiki wa Simba au Yanga, hebu nikumbusheni ili niweze kukipigia kura chama changu
 
Wakwanza nouma mtu ukitoka usingizini unavojisikia huwezisahau
 
Nimesahau hivi nilikuwa nakwenda toilet ama ndo natoka toilet ......
 
je ni yupi kati ya hawa ni bingwa wa kusahau1. jamaa alikua amelala akaamka walipokua amekaa akanza kufikiria juu ya kuwa ni jambo gani alilokua akifanya kwa wakati ule akawa anajiuliza,"hivi nilikua ninalala au naamka".2.jamma wapili alikuwa anapanda ngazi alipofika katikati akasahau kuwa alikua anapanda au anashuka ngazi.waungwana naomba mnisaidie kuwa ni yupi kati ya hawa wawili ni bingwa wa kusahaunawasilisha
................duh na mimi nimesahau,nikikumbuka ntakwambia,lakini nawe usisahau kunikumbusha nikwambie nani bingwa wa kusahau...................
 
je ni yupi kati ya hawa ni bingwa wa kusahau
1. jamaa alikua amelala akaamka walipokua amekaa akanza kufikiria juu ya kuwa ni jambo gani alilokua akifanya kwa wakati ule akawa anajiuliza,hivi nilikua ninalala au naamka
2.jamma wapili alikuwa anapanda ngazi alipofika katikati akasahau kuwa alikua anapanda au anashuka ngazi
waungwana naomba mnisaidie kuwa ni yupi kati ya hawa wawili ni bingwa wa kusahau
nawasilisha
3.alikwenda msalani lakini akasahau kama alikwenda kujisaidia haja ndogo au kubwa!
 
Back
Top Bottom