Shime Wabunge wenzangu wa CCM twendeni tukamuone Mbunge mwenzetu Tundu Lissu Nairobi Tutamuogopa Mwenyekiti mpaka Lini?

Lancanshire

JF-Expert Member
Sep 20, 2014
14,043
10,326
Habari za Weekend!

Naumia sana moyoni mwangu kutokana na sisi Wabunge wa Chama cha Mapinduzi kukaa kimya kabisa kama hakuna kilichotokea hapa juzi juzi baada ya Mbunge mwenzetu mtanzania mwenzetu Tundu Lissu kupigwa risasi hapa mjini Dodoma.

Zaidi ya Lazaro Nyalandu siidhani kuna hata mmoja wetu aliyejitoa kumtembelea mwenzetu ingawa tumekatwa posho zetu kwa ajili ya mchango. Jamani kuna leo na kesho twendeni tukamuone mwenzetu hospitali.
Mwenyekiti atapita na maisha yataendelea.

Ni mimi Mh.Mbunge wa Chama cha Mapinduzi.
 
Jina lako tafadhali ili tuanze kukushughulikia ndani ya chama ila kuna watu wanaroho za uchama kweli hata MLN. ambae ni wa mambo ya nyumbani kweli nae ameshindwa kumsabahi wa mkoa mwenzie?????haya ngoja wabunge waje labda wanamajibu.
 
Habari za Weekend!

Naumia sana moyoni mwangu kutokana na sisi Wabunge wa Chama cha Mapinduzi kukaa kimya kabisa kama hakuna kilichotokea hapa juzi juzi baada ya Mbunge mwenzetu mtanzania mwenzetu Tundu Lissu kupigwa risasi hapa mjini Dodoma.
Zaidi ya Lazaro Nyalandu siidhani kuna hata mmoja wetu aliyejitoa kumtembelea mwenzetu ingawa tumekatwa posho zetu kwa ajili ya mchango. Jamani kuna leo na kesho twendeni tukamuone mwenzetu hospitali.Mwenyekiti atapita na maisha yataendelea.

Ni mimi Mh.Mbunge wa Chama cha Mapinduzi.
Kumbe ww ni mbunge hahaha haha haha nakuja inbox tuongee
 
29 Reactions
Reply
Back
Top Bottom