Shime Wabunge wenzangu wa CCM twendeni tukamuone Mbunge mwenzetu Tundu Lissu Nairobi Tutamuogopa Mwenyekiti mpaka Lini?

Wabunge nlichaguliwa na wananchi, magu naye alichaguliwa na wananchi, sasa mnaogopa nini maana wote mnapata nguvu kutoka kwa wananchi hamna sababu ya kumuogopa magu. Nendeni mukamuone mwezenu magu siyo mungu wenu
 
Wabunge nilitegemea ni majasiri walau kidogo wangeweza kwenda huko na hawajaenda ni Msukuma, Bashe, Nape, Kangilugola lakini kumbe niliwaza vibaya, ni jeuri nyakati za bunge live tu kuonekana basi.
Pengine na suala la gharama nalo linakwamisha. Kwa sababu inasemekana wale wa CDM walioenda wamekwenda kama chama na wamelipiwa gharama za usafiri na posho ya kujikimu na chama ama kutokana na michango iliyochangwa. Sasa mbunge wa CCM atoke Nkasi hadi Nairobi kwa gharama ipi? Si bora abaki Nkasi na kama ana nia njema afanye maombi na Mungu atayasikia. Lakini pia ni UKAKASI kwa mwanaCCM yeyote unless uwe ndugu ama rafiki wa karibu kwa sababu ya Tuhuma za CDM Kwa waliomdhuru Lisu kuelekezwa kwa CCM /serikali. Assume Mwigulu au ama Nape anaenda kumwona leo na the same night jamaa linamtokea lolote. Afadhali hao wabunge ama wanaCCM waende kwenye hospitali zilizoko huko waliko wakasalimie wagonjwa ambao pia ni binadamu na watz wenzetu.
 
Habari za Weekend!

Naumia sana moyoni mwangu kutokana na sisi Wabunge wa Chama cha Mapinduzi kukaa kimya kabisa kama hakuna kilichotokea hapa juzi juzi baada ya Mbunge mwenzetu mtanzania mwenzetu Tundu Lissu kupigwa risasi hapa mjini Dodoma.

Zaidi ya Lazaro Nyalandu siidhani kuna hata mmoja wetu aliyejitoa kumtembelea mwenzetu ingawa tumekatwa posho zetu kwa ajili ya mchango. Jamani kuna leo na kesho twendeni tukamuone mwenzetu hospitali.
Mwenyekiti atapita na maisha yataendelea.

Ni mimi Mh.Mbunge wa Chama cha Mapinduzi.
unafiki tu nenda wewe basi,kuongea kwa id fake ni rahisi sana
 
Mchawi hata ktk nyumba ya ibada hatulii
 
Habari za Weekend!

Naumia sana moyoni mwangu kutokana na sisi Wabunge wa Chama cha Mapinduzi kukaa kimya kabisa kama hakuna kilichotokea hapa juzi juzi baada ya Mbunge mwenzetu mtanzania mwenzetu Tundu Lissu kupigwa risasi hapa mjini Dodoma.

Zaidi ya Lazaro Nyalandu siidhani kuna hata mmoja wetu aliyejitoa kumtembelea mwenzetu ingawa tumekatwa posho zetu kwa ajili ya mchango. Jamani kuna leo na kesho twendeni tukamuone mwenzetu hospitali.
Mwenyekiti atapita na maisha yataendelea.

Ni mimi Mh.Mbunge wa Chama cha Mapinduzi.
Mh. Mbowe ameshasema Madaktari wake wamestisha kumtembelea mgonjwa anatakiwa apumzike. Sasa wewe unatuambia twende kumsalimia vipi tena?? Ndio maana Mh. Duni alisema Chadema kila mwanachama ni "KAMBARE". Hebu kijana heshimu amri ya Mwenyekiti wetu Mbowe!!
 
Mheshimiwa Tundu Lisu rudi sasa yameshapita njoo tujenge nchi yetu.
 
Back
Top Bottom