Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,045
- 10,329
Habari za Weekend!
Naumia sana moyoni mwangu kutokana na sisi Wabunge wa Chama cha Mapinduzi kukaa kimya kabisa kama hakuna kilichotokea hapa juzi juzi baada ya Mbunge mwenzetu mtanzania mwenzetu Tundu Lissu kupigwa risasi hapa mjini Dodoma.
Zaidi ya Lazaro Nyalandu siidhani kuna hata mmoja wetu aliyejitoa kumtembelea mwenzetu ingawa tumekatwa posho zetu kwa ajili ya mchango. Jamani kuna leo na kesho twendeni tukamuone mwenzetu hospitali.
Mwenyekiti atapita na maisha yataendelea.
Ni mimi Mh.Mbunge wa Chama cha Mapinduzi.