Shime mwana mapinduzi --- elimisha wapiga kura wa vijijini wafanye maamuzi sahihi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shime mwana mapinduzi --- elimisha wapiga kura wa vijijini wafanye maamuzi sahihi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ntemi Kazwile, Oct 19, 2010.

 1. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ndungu mwana JF naomba kama kweli unataka mabadiliko yatokee kupitia sanduku la kura mwaka huu, nakuomba ufanye juu chini angalau kufikia tarehe 31 October 2010 uwe umewabadirisha wapiga kura angalau watano kutoka maeneo ya vijijini unakotoka ili wapige kura ya mabadiriko.. Changamoto iliyopo ya kuleta mabadiriko ni kura za watu wenye uelewa mdogo, hasa wale wa vijijini ambao wanadanganywa kwa uraisi na sms za CCM.
  Wape mwanga na utakuwa umechangia mabadiriko ya kweli.

  Shime wana wa taifa hili siku zimekwisha pigeni kampeni kwa ajiri ya shujaa wetu

  Slaa for President 2010
   
Loading...